Tundu Lissu atinga na bakuli la chakula Mahakamani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.


Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Mzee nafikiri kisha zoea hayo mazingira na psychologically mtu akishafikia hatua ya ku cop na mazingira husika mlioko pembeni ndio mnao hangaika na kufadhaika zaidi
Mwamba yupo happy kinoma yaan,
 
huenda anasumbuliwa na minyoo au anafurahia zaidi chakula cha magereza, uhalifu unaomkabili unamsababaishia njaa kali sana
 
Pesa zinazopotea hapo si mchezo.Daah wangetupa sisi huku tubetie tu..Mzee amejizoelea zaka..hadi nateseka mimi huku😀😀😀😀
 
huenda anasumbuliwa na minyoo au anafurahia zaidi chakula cha magereza, uhalifu unaomkabili unamsababaishia njaa kali sana
Maumivu yako dhidi ya mzalendo wa kweli yanaeleweka. Vumilia hivyo hivyo, huyo ni kiboko ya majizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…