Kwa mambo ninayoyaona hivi sasa, naona tumeamua kupishana na maendeleo. Mipango mingi inafanywa kwa standard ya pwagu na pwaguzi. Waliopewa dhamana ya uongozi wanageuka kuwa wahalifu. Wasomi wamegeuka kuwa cheerleaders wa wahalifu na wamekua wakitetea vioja. Nchi imeamua kufunga safari ya kurudi...
www.jamiiforums.com