Tundu Lissu awapongeza sana mbunge Ole Sendeka na Mbunge wa Ngorongoro, aiponda PhD ya Sheria ya Pindi Chana

Tundu Lissu awapongeza sana mbunge Ole Sendeka na Mbunge wa Ngorongoro, aiponda PhD ya Sheria ya Pindi Chana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tundu Lissu amewakmba wenye mawasiliano na wabunge wa Ngorongoro na Ole Sendeka wawafikishie Salamu zake za Upendo na pongezi kwa namna walivyowatetea kisheria kabisa Wananchi wao.

Tundu Lissu amesema Wabunge hawa wawili Mungu wa mbinguni awabariki na kuwalinda kwa uzelendo uliotukuka.

Tundu Lisu ameiponda PhD ya sheria ya Waziri Chana na kusema haimsaidii chochote.
 
Mkuu siyo lazima upost kila kitu ili uonekana unajua
Chanzo cha taarifa ni kipi?
Amesema akiwa wapi?
Japo Mimi nilimsikia kutoka CH lakini he wengine walisikia?

Ni vema ukawa kimya na kusoma mawazo ya wengine, unaweza ukajifunza zaidi.
 
Imekutesa sana Tundu Lisu kumpongeza Ole sendeka

Basi tufanye uliyepongezwa ni wewe
 
Za nn sasa mtu unakuwa na PhD lakini uwezo wa kufikiri na kusema ni sawa na aliyeishia darasa la pili B.
Kila mtu ana interest zake..
Wengine wapo radhi hata kuhonga papuchi,kutoa kafara ili apate PhD ya mchongo.
Jiaminishe hivyo lakini jaribu wewe
 
..mchango unaozungumziwa ni huu hapa.

Riziwani akiwa kama NW wa Ardhi bado mweupe sana kwenye hili suala, hana maelezo ya kujitosheleza.

Hata wabunge wengine waliojaribu kutoa "taarifa" nao ni weupe, wanazungumzia mambo ambayo mbunge wa Loliondo alikuwa hayazungumzii kwenye maelezo yake.
 
Mbona kwenye lecture wapo vizuri,ishu ni kujitoa ufahamu...
 
Back
Top Bottom