johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
PhD ya Pindi Chana ni ya kutetea dhulma!
Kweli kbs! PhD za kindezi Sana!Nchi imejaa PhD za michongo (useless)
Na nyinyi mukatafute hizo zenu za michongo kama ni rahisi kihivyo.Nchi imejaa PhD za michongo (useless)
Imekutesa sana Tundu Lisu kumpongeza Ole sendekaMkuu siyo lazima upost kila kitu ili uonekana unajua
Chanzo cha taarifa ni kipi?
Amesema akiwa wapi?
Japo Mimi nilimsikia kutoka CH lakini he wengine walisikia?
Ni vema ukawa kimya na kusoma mawazo ya wengine, unaweza ukajifunza zaidi.
Kuanzia mahakama,mahakimu , majaji , mawakili, polisi , ccm ,bunge...hivyo vyombo vyote vimejaa wahuni kwa asilimia 99%Kama ilivyo ya Tulia Ackson. Hawa wahuni wamekuwa wakitumia ujuzi wao fake wa sheria, kutengeneza sheria kandamizi na kuzisimamia.
Za nn sasa mtu unakuwa na PhD lakini uwezo wa kufikiri na kusema ni sawa na aliyeishia darasa la pili B.Na nyinyi mukatafute hizo zenu za michongo kama ni rahisi kihivyo.
Mkuu naona unapigwa zengweImekutesa sana Tundu Lisu kumpongeza Ole sendeka
Basi tufanye uliyepongezwa ni wewe
Jiaminishe hivyo lakini jaribu weweZa nn sasa mtu unakuwa na PhD lakini uwezo wa kufikiri na kusema ni sawa na aliyeishia darasa la pili B.
Kila mtu ana interest zake..
Wengine wapo radhi hata kuhonga papuchi,kutoa kafara ili apate PhD ya mchongo.
Riziwani akiwa kama NW wa Ardhi bado mweupe sana kwenye hili suala, hana maelezo ya kujitosheleza...mchango unaozungumziwa ni huu hapa.