Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Good observation brah...Wale wakenya wanaosema hii ni section ya Kenya kwanini kuna habari ya Tanzania mko wapi? Njooni muulize na hii.
Hua najiuliza ni kwanini wakenya wote hapa jf wanasupport upinzani na wananchukia sana Magufuli (yes wakenya wote hapa jf wananchukia Magufuli kwa moyo wao wote) wakati sio watanzania.
Napata Jibu moja kwamba wana wivu na maendeleo makubwa Magufuli anayoyaleta Tanzania na wanajua wazi kwamba Tanzania unakua the powerful economy in Eastern and Central Africa soon under Magufuli so baada ya hapo moyo wangu unarelax alafu nawacheka kwa dharau.
ndugu una ushahidi au unafuata hisia tuKwa hili sikuafiki kaka Magu kazini upuuzi. Ajue Hawezi kaa milele madarakani!
Hahaha kumbe? Hakikisha mnaokota na madumuHa ha ha. Hata vichaaa hua na sababu nzuri tu ya kuokota makopo
Hakuna ushahidi wowote Magufuli kuhusika kuna mambo mengine hata kumuhusisha Rais ni aibu.Kwa hili sikuafiki kaka Magu kazini upuuzi. Ajue Hawezi kaa milele madarakani!
Hua najiuliza ni kwanini wakenya wote hapa jf wanasupport upinzani na wananchukia sana Magufuli (yes wakenya wote hapa jf wananchukia Magufuli kwa moyo wao wote) wakati sio watanzania.
Napata Jibu moja kwamba wana wivu na maendeleo makubwa Magufuli anayoyaleta Tanzania na wanajua wazi kwamba Tanzania unakua the powerful economy in Eastern and Central Africa soon under Magufuli so baada ya hapo moyo wangu unarelax alafu nawacheka kwa dharau.
Ni aibu kwa watu wenye akili kushabikia ujinga.Immma advocates and Co. Ni company inayojihusisha na tones of different legal issues na wote wanategemea kudra za jaji (serikali) ili washinde mashauri yao mahakamani.
Inashangaza sana eti serikali ikalipue sijui kitu gani kwa hofu gani wakati wanauwezo wakutwist hukumu as much as will be pleased to their Corts.
Huitaji rocket science kujua ni maagizo toka juundugu una ushahidi au unafuata hisia tu
Tanzania mnapoelekea kisiasa na udekteta sio pazuri!! jeshi la polisi sio al shabaab!!
tena lile bomba la mafuta kuchukuliwa na Tanzania under magufuli's efforts ndio kabisaHua najiuliza ni kwanini wakenya wote hapa jf wanasupport upinzani na wananchukia sana Magufuli (yes wakenya wote hapa jf wananchukia Magufuli kwa moyo wao wote) wakati sio watanzania.
Napata Jibu moja kwamba wana wivu na maendeleo makubwa Magufuli anayoyaleta Tanzania na wanajua wazi kwamba Tanzania unakua the powerful economy in Eastern and Central Africa soon under Magufuli so baada ya hapo moyo wangu unarelax alafu nawacheka kwa dharau.
Mleta mada mwenyewe ni mlalamikaji wa kwanzaWale wakenya wanaosema hii ni section ya Kenya kwanini kuna habari ya Tanzania mko wapi? Njooni muulize na hii.