Tundu Lissu Awataja Waliolipua Ofisi za IMMMA Advocates, Atangaza Mgomo wa Mawakil

Huitaji rocket science kujua ni maagizo toka juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu amesema Tundu Lisu au? Hivi ina maana mawakili wote wa IMMMA wanashughulika na kesi zinazohusu serikali tu..

After all.. yani unamsikiliza mwanasiasa halafu una make conclusion by just insinuation.. umeniangusha sana brother leo.. sana tu.
 
Immma advocates and Co. Ni company inayojihusisha na tones of different legal issues na wote wanategemea kudra za jaji (serikali) ili washinde mashauri yao mahakamani.

Inashangaza sana eti serikali ikalipue sijui kitu gani kwa hofu gani wakati wanauwezo wakutwist hukumu as much as will be pleased to their Corts.
Basi wewe ndo umelipua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu amesema Tundu Lisu au? Hivi ina maana mawakili wote wa IMMMA wanashughulika na kesi zinazohusu serikali tu..

After all.. yani unamsikiliza mwanasiasa halafu una make conclusion by just insinuation.. umeniangusha sana brother leo.. sana tu.
Je! Na huyo mnayemwabudu kama Mungu is he not a politician? Hebu jaribu kutumia akili kufikiri Siyo vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wakenya wanaosema hii ni section ya Kenya kwanini kuna habari ya Tanzania mko wapi? Njooni muulize na hii.
Mbona mkileta taarifa nzuri kuhusu Tanzania huku huwa unakimbilia kuwa wa kwanza kusifia halafu zikiletwa mbaya unakua wa kwanza kulia lia kwamba kwanini zimeletwa huku.
 
Tanzania mnapoelekea kisiasa na udekteta sio pazuri!! jeshi la polisi sio al shabaab!!

Angekuwa KENYA tungekuwa tushamsahau kama MSANDO wa IT ya IEBC na maisha yangeendelea. Tatizo la Magufuli ni kujipendekeza wakati ana damu ya kunguni
 
Mbona mkileta taarifa nzuri kuhusu Tanzania huku huwa unakimbilia kuwa wa kwanza kusifia halafu zikiletwa mbaya unakua wa kwanza kulia lia kwamba kwanini zimeletwa huku.
Soma nilichoandika uelewe, nimesema wakenya ndio wanalialia tukileta habari za Tanzania kwenye upande wa Kenya. Lakini nyinyi wenye mkiona habari mbaya ya Tanzania ndio wakwanza kubandika upande huu wa Kenya.
 
Hua najiuliza ni kwanini wakenya wote hapa jf wanasupport upinzani na wananchukia sana Magufuli (yes wakenya wote hapa jf wananchukia Magufuli kwa moyo wao wote) wakati sio watanzania.

Napata Jibu moja kwamba wana wivu na maendeleo makubwa Magufuli anayoyaleta Tanzania na wanajua wazi kwamba Tanzania unakua the powerful economy in Eastern and Central Africa soon under Magufuli so baada ya hapo moyo wangu unarelax alafu nawacheka kwa dharau.
Hehehehe maendeleo gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma nilichoandika uelewe, nimesema wakenya ndio wanalialia tukileta habari za Tanzania kwenye upande wa Kenya. Lakini nyinyi wenye mkiona habari mbaya ya Tanzania ndio wakwanza kubandika upande huu wa Kenya.

Nimesoma ulichokiandika ndio nikakwambia sio mara ya kwanza kuona ukilia kwamba taarifa za ovyo kuhusu Tanzania zimeletwa humu, lakini zikiletwa huku eti Tanzania inawekeza kwenye nyumba za NHC unakimbilia kusifia bila kulalamika.

Taarifa zenu zimejaa huku siku hizi hata Watanzania wengi wanakuja Kenya news ili kupata updates kuhusu nini kipya kwenye nchi yao.
 
Mimi nitasifia na nitapondea chochote iwe huku kwa Kenya, au kwingine kokote. Ni wakenya ndio wakiona mambo hayaendi upande wao utasikia ...oh kwanini mnaleta habari za Tanzania huku, lakini wakiokota habari yoyote inayojulika kama mbaya kuhusu Tanzania, wanakimbia kama swala kufunguwa minyuzi inayo gongana.

Halafu hautakuja kuona Matanzania analalamika kwanini habari za Tanzania ziko kwenye upande Kenya. Ndio utamaduni wetu wa kushirikiana na kila mtu.
 
Hehehe kaka tungekua tuna haja ya kuleta habari mbaya kuhusu Tanzania huku tungejaza server kwenye Kenyan news. Matukio yenu huko huwa nayaona na kupita kimya maana hayatuhusu, ukiona taarifa yoyote imeletwa huku kuhusu Tanzania, ujue ina umuhimu fulani kwa Wakenya na inatuhabarisha kitu fulani.

kama hili lenu la mabomu kwenye ofisi za mawakili lina umuhimu mkubwa kwa Wakenya, inatuhabarisha umuhimu wa kulinda demokrasia yetu na uhuru wa kukosoa na maoni, tunafaa kulinda kwa nguvu zote maana mabomu kwetu ni shughuli ya mashababi bin shetwan, lakini hiyo yenu kwa jinsi anaeleza huyo Tundu Lissu inatia wasiwasi mkubwa aisei. Sio kabisa, tena mlifaa kuilani nyote bila kuzingatia uchama kama mnavyofanya kwenye mitandao.

Nyie ndio mna hulka ya kupenda kutuletea vitaarifa kuhusu Tanzania, mara sijui satellite city Kawe, vitu ambavyo Kenya tunavyo hadi vimetuboa, mara eti Tanzania SGR taking shape wakati mnachotuletea ni hotuba za press conference kuhusu huo mradi baada ya kuchimba chimba hatua 500m, wakati sisi treni za SGR zinachana mbuga hata tushazisahau. Halafu kawaida wewe huwa upo wa kwanza kusifia na kwa taarifa yako wapo Watanzania wengi hulalamika kwanini mnazileta kwenye Kenyan news, ni vile huwa umefumba macho hutaki kuwajibu.
 
Kwanza kabisa sijaangali hiyo kasfa ya Lissu maana niko kazini siku nzima( na wala sitani). Lakini ukiona habari za Tanzania huku Kenya ni kwasababu ya utanaduni wetu wa kushirikiana na kila mtu bila kujali rangi ya ngozi, jinsia kabila wala dini. Sasa wenzetu mnataka kutubagua eti YA Tanzania yabaki Tanzania. Angalua uchaguzi wa Kenya watanzania walivyo uchangamkia mpaka upande wa nyuzi za Tanzania wanaandika bila kinyongo. Wanaoponda kama SISI tunaponda, wanaoshabikia wanashabikia bila kificho.

Nikija kwa Lissu, inakuwaje yaliyosemwa na Lissu ndio hukumu tayari kama ndio ukweli mtupu?. Hivi tukichukulia yanayosemwa na NASA kuhusu uchaguzi uliokwisha na sisi tukubali yote? Au yanayosemwa na wananchi wa kawaida wa Kenya kuhusu Kenyatta na sisi tuamini bila kuchunguza?

PS: nimeangalia hiyo taarifa ya Lissu, hivi kweli kama polisi wanataka kufanya unyama kama huo watakwenda hapo na vitambulisho vyao kweli? Watakwenda hapo na magari yao ya kazi. Wakati Rogo na Makaburi wa walifanyiwa mbaya na watu wenye alama yoyote?
 
Mkuu haya mambo, sio ya kutunga nadharia za kichwani kwako, maagizo toka juu kwa nani? Tuwekee ushahidi hapa wa huyo wa juu aliyetoa hayo maigizo
Mi sina ushabiki wa kimbumbu kama unavyofikiria Mzee. Si sawa Magufuli kukandamiza sheria zilizomweka madarakani, kumtambua na kulinda utawala wake yeye. Atambue chama chake hakiko juu ya sheria. Na wanao muunga mkono watamruka baadae akitoka madarakani.

Mimi kwangu ni maslahi ya Utanzania wangu unaolindwa siku zote na sheria na Katiba iliyopo inayotambua haki ya vyama vya upinzani . Sasa kama yeye anadhani kutisha wasimamiaji sheria ndio salama yake basi ataula wa chuya kwa nchi kutokalika.

Mi sina upumbavu wa ndugu zetu wengi wa Magharibi ambao kwao umezuka mtindo wa kutetea upuuzi huu kwa kudhani wanafaidika nao kwa vile kiongozi anatokea huko. Kiukweli Magufuli hafuati utawala wa sheria na si sawa. Ni hayo tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sina ushabiki wa kimbumbu kama unavyofikiria Mzee. Si sawa Magufuli kukandamiza sheria zilizomweka madarakani, kumtambua na kulinda utawala wake yeye. Atambue chama chake hakiko juu ya sheria. Na wanao muunga mkono watamruka baadae akitoka madarakani.

Mimi kwangu ni maslahi ya Utanzania wangu unaolindwa siku zote na sheria na Katiba iliyopo inayotambua haki ya vyama vya upinzani . Sasa kama yeye anadhani kutisha wasimamiaji sheria ndio salama yake basi ataula wa chuya kwa nchi kutokalika.

Mi sina upumbavu wa ndugu zetu wengi wa Magharibi ambao kwao imezuka mtindo wa kutetea upuuzi huu kwa kudhani wanafaidika nao kwa vile kiongozi anatokea huko. Kiukweli Magufuli hafuati utawala wa sheria na si sawa. Ni hayo tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mengi ni nadharia, na hata tukiomba ushahidi wa tuhuma hatupati majibu ya moja kwa moja. Tuhuma zimekuwa za jumla jumla na sio za jumla tu bali zinakosa hata ushahidi wa kuzifanya zilete mantiki ya kueleweka
 
Kwahiyo unamaanisha serikali haihusiki na uhuni huu? Na kama ni hivyo kwann askari waliovamia Ofisi za IMMMA Advocates hawajawajibishwa? Na kwann utovu wa nidhamu wa Askari pasipo maagizo ufanyike kipindi hiki tuu cha uongozi huu tangu Uhuru? Uache kubisha visivyo na mashiko, otherwise serikali ijitangaze ni Junta government isiyoheshimu utawala wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Feb 11, 2017
Arusha, Tanzania

HATARI: Mawakili Waja na Mkakati Mzito Kupambana na Kamata kamata

Source: Mubashara TV

Hali hii ya mawakili kuandamwa imeanza kitambo na baraka zote toka ngazi za ''juu'' kutokana na matamko ya watu waliyo na mamlaka ktk serikali
 
Kwahiyo unamaanisha serikali haihusiki na uhuni huu? Na kama ni hivyo kwann askari waliovamia Ofisi za IMMA Advocates hawajawajibishwa? Na kwann utovu wa nidhamu wa Askari pasipo maagizo ufanyike kipindi hiki tuu cha uongozi huu tangu Uhuru? Uache kubisha visivyo na mashiko, otherwise serikali ijitangaze ni Junta government isiyoheshimu utawala wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani na wewe unaamini askari waliingia na uniforms zao na kulipua hzo office.
Na hao advocates waliosomeshwa na nchi, how on earth should they work for a company that has been stealing from their country. Aliyewalipua nampa heko mob
 
Back
Top Bottom