Tundu Lissu Awataja Waliolipua Ofisi za IMMMA Advocates, Atangaza Mgomo wa Mawakil

Jeshi la polisi wa hapa wana kitengo kilichopewa leseni namba 007 kama ya James Bond na wanaitumia
Pathetic banana republic with a tin pot dictator
Waliona comedy ya Charlie Chaplin 'the little dictator" watanielewa wa vizurt
 
Hua najiuliza ni kwanini wakenya wote hapa jf wanasupport upinzani na wananchukia sana Magufuli (yes wakenya wote hapa jf wananchukia Magufuli kwa moyo wao wote) wakati sio watanzania.

Napata Jibu moja kwamba wana wivu na maendeleo makubwa Magufuli anayoyaleta Tanzania na wanajua wazi kwamba Tanzania unakua the powerful economy in Eastern and Central Africa soon under Magufuli so baada ya hapo moyo wangu unarelax alafu nawacheka kwa dharau.
 

Ha ha ha. Hata vichaaa hua na sababu nzuri tu ya kuokota makopo
 
Sasa si ndo akafungue kesi kuwashitaki vizuri,
 
Kasema kaambiwa
Amgesema kaambiwa na nani na kwanini anarukia kichagua nchi yetu nzuri tu. Mipango yake na wenzake kuchafua nchi.
 
Immma advocates and Co. Ni company inayojihusisha na tones of different legal issues na wote wanategemea kudra za jaji (serikali) ili washinde mashauri yao mahakamani.

Inashangaza sana eti serikali ikalipue sijui kitu gani kwa hofu gani wakati wanauwezo wakutwist hukumu as much as will be pleased to their Corts.
 

Na bahati mbaya au nzuri
hawana Hasara wala faida kwa Tanzania
kwahio Waache waumie zaidi
 
Ni aibu kwa watu wenye akili kushabikia ujinga.
Mmegeuka Boko Haram??
 
tena lile bomba la mafuta kuchukuliwa na Tanzania under magufuli's efforts ndio kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…