Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Bara, Tundu Lissu, ameweka wazi aina ya watu wanaostahili kuwa viongozi ndani ya chama chao.
Akizungumza leo Novemba 13, 2024 mkoani Singida wakati akifungua mkutano wa viongozi wa chama wa mkoa huo katika ngazi mbalimbali, Lissu amesema "Naomba mfikirie Katikati ya vita ya aina hii mnahitaji kiongozi wa aina gani, wewe mpiga kura jiulize Katikati ya vita hii amefanya nin?, hii vita ya sasa ni maandalizi ya vita ya mwaka ujao, jiulize kama kwenye mapambano haya hajaonekana, mwaka ujao akiwa kiongozi mtamuona?, kipimo cha kiongozi anayetaka kuchaguliwa leo ni haya mapambano yanayoendelea, kama amejifika katikati ya hii vita, pendekezo langu ni kwamba atajificha kwenye vita ya mwaka ujao"
Soma, Pia: