Pre GE2025 Tundu Lissu awauliza Wanakijiji kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Wamjibu Hapana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi.

Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye Mkutano huo kutabasamu kwa furaha ya Matumaini, amezungumzia pia tozo za vijiji kwenye mazao na minada ya mifugo zilivyo kero kwa wanavijiji

Lissu katika kuhoji kuhusu Utawala bora amewauliza wanakijiji hao kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Jibu nene lililokuja ni Hapana.


 
Chadema mnasomewa Ripoti ya matumizi ya Ruzuku? ๐Ÿผ
Hata sisi wapinzani wa CHADEMA tunasomewa! Ila umenikumvusha mvali sana Kawawa akiwa Katibu Mkuu wetu aliwafukuza wakaguzi akiwaambia kuwa chama huwa akikaguliwi. Ilikuwa wakati wa chama kimoja.
 
CHADEMA huwq wanasomewa ruzuku

USSR
 
Kumbe Wananchi waliambiwa Lissu akianza mkutano wasiende waende Misigiri kuna Pilau la Bure?!

Lameck acha Mizengwe๐Ÿค”๐Ÿฅด
 
Hahahaa Mapato na matumizi ya CHADEMA au?.... Picha zingine hapo ni za wakazi wa Kijiji cha Shelui, Iramba, Singida....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ