Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Nimesema sipokei ushauri wowote kutoka CCM maana hamuitaki mema nchi hiiHapa sio mahakaman, swala inatakiwa mthibitishe taarifa zenu.Au hizi taarifa hamkujiandaa kuzifafanua?Tufanye hiyo gari ni sahihi,je mmeitoa wapi hiyo Habari?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Najua anajisikia vibaya sana navyomuumbua. Anatishia kuniblock hahahahahahah.Huyo kiroboto wa ufipa anajifanya haoni.
Yapo 10 hili ni moja tu mnalialia hapaHuyo kiroboto wa ufipa anajifanya haoni.
Sawa mkuu, so ipi fake kati ya hizi mbili?Nimesema sipokei ushauri wowote kutoka CCM maana hamuitaki mema nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haya au yapi?
Aaaaaaaah mbona umepaniq sheikh?? Tuliza kalioTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Ndio kama haya.Kama haya au yapi?View attachment 1044048
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Kumi hayatoshi, nunueni mabasi elfu tatu mia nne hamsini na mbili.
Sawa mkuu, so ipi fake kati ya hizi mbili?View attachment 1044046View attachment 1044047
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Na hili hapa?
Hahahahahah hii comment umeijibu vipi?We ebu lieleze jukwaa la Great thinkers, ipi picha fake kati ya hizi mbili?Nishakupiga pini ujinga wako siuoni tena
In God we trust
Good graphics work!Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Rais wetu wa mioyoni juzi kasepa.Mbona povu kingi sana?
In God we trust
Kumi hayatoshi, nunueni mabasi elfu tatu mia nne hamsini na mbili.
Mungu mbariki Lowassa.Uzuri wa cdm hatunaga roho mbaya kama nyinyi tazama tunavyo wasaidia ccm wenzenu mlio watelekeza kwenye kampeini baada ya fuso mlilo tumia kuharibika
In God we trust