Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha... Liniume basi la kuchora?,ni Sawa na kumuonea wivu mtu anayekula ugali kwa picha ya samaki.. Siku nyingine msiingie kichwa kichwa mfanye tafiti, mnalishana Sana matangopori humu na mkashangilia Kama mazuzu.
Dah mleta mada anaitwa Mmawia, Leo amegeuka kuwa Lumumba?,huoni alivyojitutumua kutetea Basi lake alilomnunulia Lissu kutoka Google images akampigia na chata za Chadema kabisa?,kubali tu mwenzenu katafuta Kiki kwaajili ya Lissu ikabuma, ikashtukiwa.
Hapo juu mngeandika kwa BAVICHA TU.Kwakua hamjawa specific basi hatuna budi kuwapa elimu.Kuna application inaitwa Adobe Photoshop, hii inaweza kukuedit wewe uko na trump mnapiga story, ni wataalam wa picha tu na wajanja wa hivi vitu wanaweza gundua picha sio HALISI. Jitahidi uzoom kwa makini hiyo picha uone then nakutumia na picha HALISI na link huyo jamaa alikoitoa.
Scania Touring de Vip Bus - a photo on Flickriver
View attachment 1044324View attachment 1044325View attachment 1044326
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ada za watoto wameshamchangia? Maana sio kujishaua huku watoto wafukuzwe shule.
Kama waliweza kudeki barabara unafikir hapa watakuelewa?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Acha ujinga tulikuuliza kuhusu oljoro kua na gari mwehu weweTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.
Lissu kapewa basi la picha kutoka Google, ikapigwa chata ya CHADEMA kwenye PHOTOSHOP na wewe upo hapa unampongeza?,basi linanunuliwaga Google images?
scania touring de vip bus - Пошук Google
View attachment 1044322
Kwamba hakuna hata bavicha mmoja humu aliye na elimu ya Photoshop zaidi ya huyo mtoa mada?Kwamba hakuna hata bavicha mmoja humu mwenye viakili kidogo kuhoji source ya hiyo habari?mkiitwa nyumb ******* wanakosea?View attachment 1044319View attachment 1044320View attachment 1044321
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Acha kuvuta bangi chooni kama vipi Fungua uzi mpya huu unahusu kumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji
Rudi darasani kama umeshindwa kujua nini kimefanyika ktk hizo pichaView attachment 1044317View attachment 1044318
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Lipi fake?Unahangaika nini kwenye msiba wa jirani yako?
In God we trust
Bus la kugoogle?Huko ufipa sikuizi kumejaa matihira?Utaishia kuweka hayo ma screen short lkn ukweli unabakia palepale kuwa cdm imepatiwa bonge la basi ambalo ccm hawajawahi kupatiwa
In God we trust
Kama we sio mbumbumbu, lieleze jukwaa ipi picha fake ktk hizo tatu?Wewe mwenyewe ni mbumbumbu unawezaje kujua level ya ujinga