Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Hisia zangu zilikuwa sahihi kabisa

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Hivi vitu nimecheza navyo sana yaani sana.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Yani wanaangaika hadi wanatia huruma. Shida wanapenda siasa UCHWARA. Hizo picha uligoogle unapata.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Chadema kwisha habari yao..........sasa huko ni kujidanganya wao wenyewe.......ndio maana wenye akili timamu wanahama!
 
CHAMA kimebaki kufake matukio ili kiendelee kusikika. Bavicha badala ya kuangaika kuja na Hoja za kujijengea uhaminifu kwa wananchi wao wanaangaika na Adobe Photoshop.

Back
Top Bottom