Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Ndiyo maana leo hii kuwafanya kina MISULI wakeshe kwenye mitandao wakisema hilo basi ni FAKE
In God we trust
Inaonekana anawapa tabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana leo hii kuwafanya kina MISULI wakeshe kwenye mitandao wakisema hilo basi ni FAKE
In God we trust
Si nasikia ccm inanunua huko kwenu kinachonunuliwa si Kipo sokonj
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu ipi picha fake hapa?Ndiyo maana leo hii kuwafanya kina MISULI wakeshe kwenye mitandao wakisema hilo basi ni FAKE
In God we trust
Kama hutaki kajinyonge ufe kabisa maana huna faida kwa taifa wala jamii yakoYani we jamaa una argue kipumbavu sana. Umeleta picha fake na ukibanwa unakuja na illogical answers. Lieleze jukwaa uhalali wa hilo bus sio kuja na habar za shilling, kwani kuna sehemu kaongelea USD vs TSh?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mimi niko vizuri tu, nina enjoy movie lako la Adobe Photoshop.Hadi mapovu yamewakaukeni
In God we trust
Kamuulize babako asiye jua kiswahili wala kizunguKwahiyo mkuu ipi picha fake hapa?View attachment 1044455View attachment 1044456
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Unaongelea vipi chama chenye viongoz wanaojiuza?Je hakina utofaut na utawala wa akina mangungo?Chama kinachonunua watu hakitufai.mnaturudisha kwenye biashara ya utumwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnunuzi siku zote ananunua kinachouzwa sasa kama Muuzaji kaweka bidhaa sokoni lazima zinunuliwe.Chama kinachonunua watu hakitufai.mnaturudisha kwenye biashara ya utumwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida ipo,majority wamejua hilo basi ni Photoshop na picha yake umetoa Google. Nimesaidia Taifa kufikiri nje ya Box. Saizi kila post yako watakua makini sana.Kama hutaki kajinyonge ufe kabisa maana huna faida kwa taifa wala jamii yako
In God we trust
Naona umepanic sana,Haiwezekan jukwaa zima likageuzwa kijiwe cha WAPUMBAVU. Humu kuna wataalam wa kila aina so kuwa makini. Propaganda uchwara peleka ufipa.Kamuulize babako asiye jua kiswahili wala kizungu
In God we trust
Ndugu yao huko Ubeligiji alianza kufulia so wakaona waje na hii movie ili angalau ajadiliwe.Mimi niko vizuri tu, nina enjoy movie lako la Adobe Photoshop.
In God we trust.
Naona umepanic sana,Haiwezekan jukwaa zima likageuzwa kijiwe cha WAPUMBAVU. Humu kuna wataalam wa kila aina so kuwa makini. Propaganda uchwara peleka ufipa.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hapa umemaliza kila kituHadi ukiri kuwa hilo basi ni Photoshop na picha yake umetoa Google. Jukwaa lazima liheshimiwe na nimejitolea kulinda heshima yake. Tuambie lipi basi fake hapa?View attachment 1044451View attachment 1044452View attachment 1044453
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hahahahahah huu mchezo hauitaji hasira. Kwahiyo mkuu ukafikiri hili group wote WAPUMBAVU?Humu utawashika masikio wasiojua technology na wasio na akili TIMAMU tu.Na records inaonesha vilaza wanaongezeka kwa kasi sana jf huku watu MAKINI wakipungua.Wewe mwenyewe ni mpumbavu tu
In God we trust
Hahahahahah huu mchezo hauitaji hasira. Kwahiyo mkuu ukafikiri hili group wote WAPUMBAVU?Humu utawashika masikio wasiojua technology na wasio na akili TIMAMU tu.Na records inaonesha vilaza wanaongezeka kwa kasi sana jf huku watu MAKINI wakipungua.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ndugu yao huko Ubeligiji alianza kufulia so wakaona waje na hii movie ili angalau ajadiliwe.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Sijaona kama ni mbwembwe hizo, hiyo ni taarifa, inaonekana imekukera sana mkuu !!, mbona nyie mlipoleta zile ndege za mapanga boi mlitaka dunia nzima ijue ?!, punguza hasira mkuu haya maisha tuTatizo ni nini sasa, hata JKT Oljoro wana basi pia. Bwembwe nyingine zinaonyesha level ya ujinga.