GE2025 Tundu Lissu: Baada ya madai yangu niliyotoa Mahakamani, nililetewa Padre kwenye Sero yangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema baada ya madai yake Mahakamani juu ya kunyimwa Haki zake za msingi akiwa sero aliletewa Padre kwenye Sero yake na kupata hudama ya kiroho.

Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu

Your browser is not able to display this video.
 
Walikua wana kunyima tu. Ina maana nchi haijui utaratibu wake
Sikudai,so hawakuninyima,ila waislam huswali wenyewe,sema dini zingine zimekua institutionalized, yaani huwezi fanya ibada mpaka awepo kiongozi,hata kuzika
 
Haahaa lissu ni nomaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…