Tundu Lissu: Baada ya ushindi nilipata ahueni

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Ila huyu ni mwanaume, sikutarajia angemuangusha Mwamba. Aisee sasa naamini hata NEC wakiweka uchaguzi huru na haki huyu mama anaangushwa asubuhi tu.

Huu ni wakati wa kusuka coalition nzito sana na kila ambaye hakubaliani na utawala wa Samia. October kampeni zitakua ngumu sana kwa CCM na watapoteana kabisa, ni muhimu tupiganie reforms ili tumalizane na CCM once and for all
 
Changieni chama acheni hulka Za balehe
 
Patakuwa na mabadiliko katika Sheria za uchaguzi kabla ya Uchaguzi wa October.

Na Heche atasaidia sana kupatikana Kwa wabunge wengi na kura Kanda ya maji.

Hili litunzwe.
 
Kusema kweli ilikuwa kama vita ya Daudi na Goliati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…