Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA ilistahili kupata Wabunge 18 wa Viti Maalum, sasa huyo wa 19 ametoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19

Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu

Source: ITV

Mlale Unono baadae 😄
 
Wa mwenye-sakosi bila shaka
 
Amefanunua vzuri sana kumbe ruzuku bhana haitoki kwa viti maaalum shenz ccm wanatudanganya danganya
 
Kuna shilingi laki moja hapa kwa Chawa yeyote atayeweza kumjibu Lissu kwa hoja.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19

Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu

Source: ITV

Mlale Unono baadae 😄
We mzee wa kimpumu
 
Yeye ni mnyaturu na anajua jadi ya Kinyaturu kuwa akienda kununua bidhaa lazima aombe nyongeza ( MASESA)

hivyo huyo mmoja wameongezwa kama MASESA badala ya kufurahi na kushukuru wanapiga kelele tena?
 
Nchembo? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
IMG-20240827-WA0058.jpg
 
Back
Top Bottom