johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wa mwenye-sakosi bila shakaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19
Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu
Source: ITV
Mlale Unono baadae π
We mzee wa kimpumuMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19
Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu
Source: ITV
Mlale Unono baadae π
Nchembo? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Yeye ni mnyaturu na anajua jadi ya Kinyaturu kuwa akienda kununua bidhaa lazima aombe nyongeza ( MASESA)
hivyo huyo mmoja wameongezwa kama MASESA badala ya kufurahi na kushukuru wanapiga kelele tena?
Lugha ghani tena hiiππNchembo? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Olemola? Noma sana, kwamba walipewa nyongeza?Lugha ghani tena hiiππ
Nahene wabheja Sana πOlemola? Noma sana, kwamba walipewa nyongeza?