Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma kuliko wakati wa Magufuli.
Wakili Msomi Tundu Lissu naona umejizima data.
Kuna utofauti mkubwa wakati wa Magufuli na wakati wa Mhe Samia Suluhu Hassan.
Mm nakutajia tofauti moja tu kubwa kuhusu demokrania baina ya watawala hao 2, nayo ni kwamba Wakati wa Magufuli wewe ulikimbia nchi na mwenzako Lema lakini wakati huu unaosema demokrasia haipo umerudi nchini, unatukana upendavyo, jana umeenda kuongea na wanafunzi, unazunguka nchi nzima kumsema Rais huwindwi Kama Ndege, unainjoy maisha.
Sasa nakushangaa unasifia eti wakati wa Magufuli demokrasia ilikuwa juu kuliko ss hv.
Halafu unataka kuwa Rais wa nchi ww