Tundu Lissu for president 2020

Mkuu huku jimboni kwake ubunge tu wenyewe hatapita kama ccm wataweka mtu makini. 2015 alipita kwa sababu ccm waliweka mtu asiyekubalika tena alikuwa anaongea kwa dharau kwenye kampeni matokeo yake wakamtupa kwa dharau na ni ndugu yake Tundu Lisu( ukoo huo huo)
 
Sikuhizi kila MwanaJF ni mkazi wa jimboni kwa Lissu.
 
Sikuhizi kila MwanaJF ni mkazi wa jimboni kwa Lissu.
Mkuu kusema niko jimboni kwa Lisu hakuniongezei kitu wala kunipunguzia kitu, Mimi na wanasiasa tofauti kabisa

Ninachokueleza hali halisi ya jimboni ( singida mashariki) kwa ambae yupo huko ama ameshaishi huko ataelewa nilichomaanisha

Maneno yangu hayamaanishi namuunga mkono ama nampinga Lisu ila nimeelezea hali halisi ya jimboni kwake
 
Wewe Lisu unamsoma kwenye media wala humjui. Tuondelee uongo wako mkuu
 
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Hata maji ya vinyesi ni vito vya thamani kwa wenye magari ya maji machafu.
 
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Hahahahahaha, unachekesha, unataka afukuzwe upinzani au akina nyeupe wammalize?
 
Ni heri kuchambia kura yangu kuliko kumpa uyo jamaa

Rubiikimimi[emoji85]
 
Lissu akiwa raisi wa tz mini nahama bara la afrika, bora nikaishi hata Syria au hata akhera
 
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Ukweli wa aina hii, pia huitwa uchochezi....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Ana vigezo vyote vya kuwa raisi, mbowe atulie pembeni na babu mamvi atulie aache vijana wapige Kazi
Antipus tundulissu is a genius achukue form for presidential election tumpigie kura

iPhone 6s
 
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.

Yaani hiyo sentensi yako ya kwanza imenifanya nicheke mwenyewe kwa sababu inaelekea kabla ya hiyo sentensi kumekuwa na debate kali juu ya nani anafaa kuwa Rais 2020 na kuibuka motion ya Tundu Lissu kuwa mgombea mwenye sifa na kunyakua kiti cha Urais wa JMT kama uwanja utakuwa tambalale na refa atakuwa objective. Lakini hiyo context ya thread yako umeificha ingawaje umeidokeza kwenye sentensi yako ya pili inayojibu swali 'hivi kuna mtu anafaa kweli kugombea Urais 2020?'

Hiyo context ingetupa orodha ya possible candidates, vigezo na mwisho kabisa wewe kumpata Lissu ambaye ni candidate wa nguvu kiasi cha kumlinganisha na vito vya thamani. Ungesema na aina ya kito ingekuwa super zaidi. Ila tofauti ya madini na vito vya thamani ni nini? Au ulitaka kusema vito vya thamani na 'makinikia'?
 
Mitusi ya bavicha?
Ndio mkuu. Kuna watu hawakubali kutokubaliana na hao hao wanamshambulia baba J kwamba hakubali kutokubaliana sababu hiyo ndio demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…