Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu povu litawatoka......Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Sikuhizi kila MwanaJF ni mkazi wa jimboni kwa Lissu.Mkuu huku jimboni kwake ubunge tu wenyewe hatapita kama ccm wataweka mtu makini. 2015 alipita kwa sababu ccm waliweka mtu asiyekubalika tena alikuwa anaongea kwa dharau kwenye kampeni matokeo yake wakamtupa kwa dharau na ni ndugu yake Tundu Lisu( ukoo huo huo)
Mkuu kusema niko jimboni kwa Lisu hakuniongezei kitu wala kunipunguzia kitu, Mimi na wanasiasa tofauti kabisaSikuhizi kila MwanaJF ni mkazi wa jimboni kwa Lissu.
Wewe Lisu unamsoma kwenye media wala humjui. Tuondelee uongo wako mkuuMkuu kusema niko jimboni kwa Lisu hakuniongezei kitu wala kunipunguzia kitu, Mimi na wanasiasa tofauti kabisa
Ninachokueleza hali halisi ya jimboni ( singida mashariki) kwa ambae yupo huko ama ameshaishi huko ataelewa nilichomaanisha
Maneno yangu hayamaanishi namuunga mkono ama nampinga Lisu ila nimeelezea hali halisi ya jimboni kwake
Hata maji ya vinyesi ni vito vya thamani kwa wenye magari ya maji machafu.Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Hahahahahaha, unachekesha, unataka afukuzwe upinzani au akina nyeupe wammalize?Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Ukweli wa aina hii, pia huitwa uchochezi....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Ana vigezo vyote vya kuwa raisi, mbowe atulie pembeni na babu mamvi atulie aache vijana wapige KaziHata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Umejilipua bidada ... hauogopi mitusi?Ni heri kuchambia kura yangu kuliko kumpa uyo jamaa
Rubiikimimi[emoji85]
Hata akisimama kama mgombea binafsi pia atashinda kama hakutakuwa na uchakachuaji wa kura. Tunahangaika kutafuta madini wakati tuna Vito vya thamani kama Antupas Tundu Lissu.
Umejilipua bidada ... hauogopi mitusi?
Ndio mkuu. Kuna watu hawakubali kutokubaliana na hao hao wanamshambulia baba J kwamba hakubali kutokubaliana sababu hiyo ndio demokrasia.Mitusi ya bavicha?