Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile.
Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka.
Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo na siasa zake, huwa hapendi sana kuzungumzia namna gani ya kupambana na rushwa, zaidi ya kujitakasa tu mwenyewe kanakwamba ni msafi na mweupe kama pamba kwenye suala la rushwa.
Kama kiongozi mwandamizi wa chadema, hajawahi kueleza ni mipango mikakati ipi mbadala anaweza kuitumia kudhibiti rushwa, ameng"ang"ana kubweka bweka tu huko majukwaani, kuficha madahaifu yake kuhusu rushwa.
Hivi visingizio duni kabisa anavyoleta sasa hivi eti sijui, kuna watu walimpelekea rushwa siku za nyuma ni katika kufilisika kisiasa na kukosa la kusema baada ya kuona kabisa anakwenda kupoteza vyeo vyote kwa tamaa zake za fisi kwenye uchaguzi wa ndani wa chadema Taifa, utakaofanyika hivi karibuni.
Ukimya wake wakati huo wote unatia mashaka makubwa kwenye hilo analowasingizia wengine, na huenda ni uzushi na uongo wa kiwango cha juu sana wa huyu muungwana.
Lakini pia kuwasingizia viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama chake eti wanatoa au kupokea rushwa, hususani nyakati za uchaguzi bila kua na ushahidi wowote, lakini pia bila kupeleka tuhuma na malalamiko hayo kwenye kamati husika za kudeal na tuhuma kama hizo, ni uchonganishi, kufilisika kisiasa na kukigawa chama.
Kwa shida na matatizo mbalimbali ya kibinafsi na kisiasa yanayo mzonga, na sote tunakumbuka, Tundu Antipas Lisu ilifikia mahali akawa anaombaomba waTanzania wamchangie kwa hali na mali mambo mbalimbali, ili aweze kujisitiri, maana kwakweli alikua kwenye hali mbaya sana kiuchumi, kisiasa na kimaisha.
My friends, ladies and gentlemen, tuwe wakweli tu,
Surely,
mtu kama huyo ombaomba anaweza kuthubutu kukataa hata mia mbovu akipewa, sembuse rushwa ya mabilioni ya fedha anayodai kupelekewa sijui na nani huko nyumbani kwake kama rushwa?
Na kwa alivyo na tamaa na njaa ya pesa, sidhani hata kama anaweza kukumbuka kuelewa au kafahamu kama ni rushwa.
Ndugu wadau,
rushwa ni pamoja na ile hali ya kutumia rasilimali za umma kwa kujinufaisha kibinafsi, wewe na familia yako.
Mara ngapi Tundu Lisu ameomba kuchangiwa mamilioni kwa mgongo wa Chadema? hiyo sio Rushwa? Alichochangiwa ni kwa maslahi binafsi au ya umma?
Vyama vyote vya siasa nchini ni mali ya umma.
Lakini pia,
ni mara ngapi Tundu Lisu ametumia mgongo wa Chadema kutoa tuhuma na kudai madai binafsi kwa tigo na serikali?
Madai yake hayo, yanaihusu nini chadema kama sio Rushwa hiyo?
In conclusions,
Tundu Lisu ni muoga mno kwenye kupambana na rushwa kwasabb pia anafanya matendo ya rushwa ipasavyo kama nilivyoeleza hapo juu.
Madai anayoibua sasa dhidi ya mahasimu wake ndani ya chadema, ni mawenge tu kwasabb karibu kila mpango wake wa kujaribu kupata sapoti ya wajumbe kuelekea uchaguzi wa kitaifa ndani ya chadema una buma.
So,
muungwana anaweweseka na kutapatapa mno, asione pa kushika na sasa eti anapambana na Wenje na sio mbowe tena. Hivi ni vichekesho kwakweli.
Kiki za kijinga hazitamsaidia chochote.
Ni muhimu akajipange na uchaguzi mwingine 2030.
This time around awe muungwana tu kwamaba hana nafasi na kwakweli asahau tu suala la uongozi chadema,
hawezi kua makamu mwenyekiti wa Chadema, hawezi kua mgombea urasi kupitia chadema, na wala hawezi kua mwenyekiti Chadema taifa.
Ikimpendeza
awe huru tu ahamie chama kingine cha siasa au aanzishe chama chake cha siasa kwasababu ana haki ya kufanya hivyo
Mungu Ibariki Tanzania