Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

He can't and will never be.
 
Uzuri kura hupigi wewe peke yako labda mtegemee the familiar rigging tactics.
 
Lisu maneno mengi wakati wewe unaongeeaa mpaka unaboa.
Lisu sio anajifanya,mimi naona anajua. Huna namna
 
Mnaongeza miaka tu, ilikuwa 2010 ikaja 2015 sasa ni 2020. Poa kamanda tunasubiri 2020.
Mkapa alimaliza yote Jangwani. Hawa jamaa Malofa tu watabaki kuota ndoto. Hivi kweli wanadhani kuna mwenye akili timamu upinzani anaweza kupambana na kumwondoa Magufuli 2020. Kwa mihemko ya kijinga hiyo, Chadema ilikuwa ya Slaa sio hawa Wendawazimu.
 
swali muhimu je jiwe ana busara?tujikumbushe kidogo,alipokuwa waziri wa ujenzi serikali kupitia tamesa ilipandisha nauli ya kivuko cha kigamboni dar ,wananchi walipolalamika alisema kwa jeuri kama nauli ni kubwa basi wapige mbizi,busara hizo.kwa sasa anaishi magogoni pale,wakulima wa korosho walipolalamika hela zao kukwapuliwa na serikali na wabunge wao wa kusini kutishia kuandamana jiwe alijitokeza na kumpiga kwala PM kuwa wakiandamana ataanza na shangazi zake PM,BUSARA HIZO TOKA KWA JIWE.
 
mimi naamini yeyote aweza kuwa rais kama jpm ameweza kuwa rais
Huwezi kumlinganisha JPM na Lissu JPM ni jembe la uhakika katika kuhakikisha watu wanfauata sheria na kuwajibika.
 
kama magufuli ameweza Lissu anashindwa nini? Kwa mtazamo wangu ukiachilia mbali ujinga wetu wa kuona kikundi cha watu kinachoitwa ccm ndo Tanzania,Lissu is far better than Magufuli in term of competence
 
uwe na busara kwanza hakuna mtu anaitwa jiwe ambaye ni kiongozi hapa nchini
 
Lisu maneno mengi wakati wewe unaongeeaa mpaka unaboa.
Lisu sio anajifanya,mimi naona anajua. Huna namna
Mkuu kama hujui kusoma na kuelewa kilicho andikwa hayo ni matatizo yako kiakili. Hakuna anaye kulazimisha kusoma hoja yangu mpaka ika ku-bor. Kama unaona hoja zangu zina ku-bor acha ku-deal nazo. Kwa nini unateseka na vitu ambavyo hujaumbwa navyo?

Katika ulimwengu wa leo ambao umekuwa very very complicateded binadam wenye ubongo wenye capacity kubwa ya kusoma habari na kuzifanyia kazi wana advanteg kubwa ya ku-succeed kimaisha kuliko binadam wenye kutaka simple answers kwenye complocated matters.

Endelea tu kuulemaza ubongo wako kwa majibu na maelezo mafupi na rahisi rahisi. Utafika wakati utashindwa kutatua matatizo madogo! Complicated Material needs great thinking capacity.

Katika Informations Technology ya leo manufacturer wa computer chips ana jitahid ku-reduce the scale of the integrated circuit kuwa yenye 13.5 nm ili apate chips zenye uwezo mkubwa wa ku-transfer na ku-serve infomations nyingi kwa ku-expand the capacity of the Chips, wewe unalalamika kwa ajili ya hoja zangu zenye texts ndefu.

Mimi naandika kwa ajili yangu na kwa jinsi ninavyo jisikia, sifanyi kwa ajili ya mtu mwingine. Mwenye kutaka kusoma asome na asiye taka aache. Mimi pia kuna baadhi ya Threads sizifungui kwa sababu hazinivutii na hoja za baadhi ya watu siziangalii wala kuzisoma, kwani najua hoja zao mara nyingi zinakuwa under my level! Kwa hoja kama hizo sipotezi mda wangu, hata hivyo sioni sababu ya mimi kulalamika, eti kwa sababu fulani hoja zake sio nzuri kwangu. Kwa kisa gani? It doesn't make any sense!

Kuwa free na amani na unacho kifanya. Usilalamike. Fanya kile unacho kiona ni right kwako na sio unafanya kitu kwa ajili ya mtu mwingine.[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri kura hupigi wewe peke yako labda mtegemee the familiar rigging tactics.
hata kwenye list ya wagombea Chadema hawatamuingiza huyo boss wako hilo tunalijua...au hujui watu wa kaskazini walivyo...mara hii mmeshasahu ya zitto na kitila?
 
sheria amazo yeye mwenyewe anazivunja makusudi.
amevunja sheria gani bwana mbona mna publish tu mambo jamani...itaje sheria aliyoivunja...na kama Rais akivunja sheria wewe raia unatakiwa kuchukua hatua gani kwa mujibu wa sheria?
 
Superiority complex inamsumbua. Aliwahi kuwatusi wabunge wa CUF kipindi cha nyuma, sababu ni ule wingi wa wabunge wa CHADEMA, akawaambia wanaume ndio wanaowafuata wanawake na sio wanawake kuwafuata wanaume.

Mdomo huponza kichwa, maneno ya wahenga.
kiburi sana huyu jamaaa.....naona anona kwasababu kasoma sheria basi yeye kila kitu anajua na yuko juu ya sheria......na akirudi kesi zake za Kisutu zinamsubiri asifikiri kama zimefutwa.
 
Yaani huyu akiwa Rais siku ya kwanza tu na kabla ya week tunamuassassinate kwa faida ya Taifa. Hao anaowatukana ndio hao hao wanatakiwa kumlinda akiwa Rais na hatujawahi kufanya ujinga huo hata sekunde moja.
Off cut his head.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiburi sana huyu jamaaa.....naona anona kwasababu kasoma sheria basi yeye kila kitu anajua na yuko juu ya sheria......na akirudi kesi zake za Kisutu zinamsubiri asifikiri kama zimefutwa.
Akili za mashindano zinamponza. Anadhani kundi kubwa la watanzania halijielewi na yeye mwenye kujielewa ndio mwenye haki ya kuwasaidia hao walio gizani.
 
kauli kali sana hiyo......kwa mujibu wa katiba yetu ulinzi wa taifa la Tanzania uko chini ya JWTZ,Polisi,Magereza na TISS pamoja na wananchi wote.sasa sijui akiwa Rais atavifuta hivyo vyombo na kuanzisha vyombo vyake au
 
Akili za mashindano zinamponza. Anadhani kundi kubwa la watanzania halijielewi na yeye mwenye kujielewa ndio mwenye haki ya kuwasaidia hao walio gizani.
Tundu Lissu nadhani kwasasa anaweza kuwa mwalimu wa sheria vyuo vikuu tu atatulia na kula maisha yake vizuri lakini kwa tabia na kiburi chake cha ujuaji huku uraiani hakumfai kabisa.....badala ya kujenga marafiki yeye anatafuta maadui ili kushindana nao kwenye majukwaa.......hiyo ilikuwa wakati wa cold war si sasa
 
Unapomshambulia rais unakuwa unaishambulia taasisi nzima ya urais sio JPM peke yake. Jamaa ni mwanasheria mkubwa tu lakini kashindwa kuelewa ukubwa na wa taasisi ya urais.

Timing ya mdomo wake ni mbaya sana, wakati ule wa kibiti, tension ilikuwa kubwa sana kiuongozi, wale jamaa walitaka waanzishe jamhuri ndani ya jamhuri, yaani ule upuuzi wa al shabab.

Halafu wanaibuka watu wanamkejeli mtu ambaye angeweza kabisa kutangaza hali ya hatari na nchi ingekuwa kwenye wakati mgumu kwenye suala la amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…