Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol.
Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe
Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga mbegu za mchicha juu ya zege ukitegemea zitaota.