Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Feb 2, 2023 #1 Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol. Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga mbegu za mchicha juu ya zege ukitegemea zitaota. Your browser is not able to display this video.
Kama kuna watu walikuwa wanaomba mgongano wa kiuongozi ndani ya Chadema sasa wanywe panadol. Kuna wale maadui wa siasa za kishindani walikuwa wanatamani Mhe. Lissu autamani uenyekiti wa Chadema ili agombanie nafasi hiyo na Mhe. Mbowe Kuitakia Chadema migogoro ya ki uongozi ni sawa na kumeaga mbegu za mchicha juu ya zege ukitegemea zitaota. Your browser is not able to display this video.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 2, 2023 #2 Sawa Atagombea na Mbowe kivipi wakati Freeman anastaafu?!
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Feb 2, 2023 #3 Kwahiyo huo uenyekiti una hati miliki ya mwenyekiti peke ake tuu mpaka afe mpk lissu ameingiwa woga? Chadema kwa hili mbadilike
Kwahiyo huo uenyekiti una hati miliki ya mwenyekiti peke ake tuu mpaka afe mpk lissu ameingiwa woga? Chadema kwa hili mbadilike