Tundu Lissu, hatua ya kwanza kabisa teua kamati maalumu ya kuhakiki mali zote za chama washughulikiwe

Tundu Lissu, hatua ya kwanza kabisa teua kamati maalumu ya kuhakiki mali zote za chama washughulikiwe

Jambo la msingi kwa sasa ni kuandaa mikakati ya uchaguzi mkuu.
 
Chama kiliongozwa na donation za Mbowe, wanachama binafsi hivyo hakuna pesa zinazozungumzwa zilikuwepo
 
Tunafahamu CHADEMA ni mali ya Umma na kuna mali ambazo chama kinamiliki kama vile majengo, samani, mashamba, matrekta kule Ifakara, fedha, viwanja nk.

Pia ifanyike special auditing ya kina kwenye mapato na matumizi ya chama na ripoti iwekwe hadharani ili kurudisha imani.

Napendekeza kamati hiyo isimamiwe na makamu mwenyekiti John Heche pamoja na yule dada Rose wa Njombe bila kumsahau ndugu Godbless Lema.
 
Balaza la wadhamini ndilo lenye mamlaka ya mali zote za chama.
Balaza lipo kwa mujibu wa katiba ya chama.

Nafikiri kazi kubwa sasa ni kuwaunganisha wanachama wote baada ya uchaguzi mkuu, sidhani kuanza kukagua mali ni priority kubwa kwa uongozi mpya.
 
Mwenyekiti anaweza kuunda kamati ya kufanya auditing na kuwjulisha wadhamini
 
Wapenda Mabadiliko na Demokrasia ya kweli tunaomba RADIO na TELEVISION ya Chama

Inaweza kuwa inaendeshwa KIBIASHARA ila sehemu flani, labda 40% iwe habari za Chama..TUTACHANGIA
 
Back
Top Bottom