Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kiko wapi sasa team FAMHiki chama kikienda hivi hakifik miez sita.
Uzur Lissu sio Mpumbav
Tulia tuone wanaharakati wakijenga chama.Kiko wapi sasa team FAM
Acha ka mdomo mzee, harakati na siasa vinatenganishwa na uzi mwembamba sanaTulia tuone wanaharakati wakijenga chama.
Sasa mbona hufanyi mjadala kistaarabu..Acha ka mdomo mzee, harakati na siasa vinatenganishwa na uzi mwembamba sana
Wewe ni kati ya wengine mliokua na kamdomo sanaSasa mbona hufanyi mjadala kistaarabu..
Kama mstari ni mwembamba ni sawa, tutafurah sana TL akifanikiwa
Wajiandae na ucjaguzi mkuu, focus ni muhimWadau hamjamboni nyote?
Unaweza mshauri uonavyo Mimi langu nimemaliza.
Tafakuri ya kina kwa wenye elimu.
Fanya mijadala kistaarabu kwanzaWewe ni kati ya wengine mliokua na kamdomo sana
Tumeshinda lakini hatuna pesa za kuendesha chama. Inabidi turudi kwa mama AbdulWadau hamjamboni nyote?
Unaweza mshauri uonavyo Mimi langu nimemaliza.
Tafakuri ya kina kwa wenye elimu.
Mwenyekiti anaweza kuunda kamati ya kufanya auditing na kuwjulisha wadhaminiBalaza la wadhamini ndilo lenye mamlaka ya mali zote za chama.
Balaza lipo kwa mujibu wa katiba ya chama.
Nafikiri kazi kubwa sasa ni kuwaunganisha wanachama wote baada ya uchaguzi mkuu, sidhani kuanza kukagua mali ni priority kubwa kwa uongozi mpya.