Tundu Lissu havai tena bullet proof vest, kulikoni?

Inabidi uchuguzi ufanyike au tusubiri tena uchaguzi mwingine, ili ndiyo waanze kufafanua na kuvuana nguo kwanini alivaa bullet proof vest wakati wa kuchukua na kurudisha fomu tu?

HQ kuna hatari za kiusalama ama laa!πŸ’
Labda muulize Mr Amsterdam wakili wa Lissu anayepanga kukamata ndege za Air Tanzania.
 
Tulia dawa ikuingie kunguni wa sa100
 
Umeanzisha uzi chini ya kiwango. Unataka kufahamu jambo ambalo halina nyongeza ktk ufahamu wako.
Nitauliza tu swali; Una elimu kiasi gani? Na je, huwa unajisomea nini zaidi ya gazeti la michezo?
mbona mapema sana gentleman?
yaani umefikia ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani mapema kiasi hicho gentleman, dah?

sasa mbona utakua mzigo mzito zaidi kwa chadema aise πŸ’
 
We ile kitambi ilivyo kubwa akivaa B.P vest atashindwa kuhema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kwahiyo gentleman,
kibaraka alikurupushwa au alikurupuka kuvaa?🀣
 
Lisu ni muongo muongo sana
 
Maji ya shingo .amegundua maigizo yake hayatiliwi maanani na watanzania na wala hawana habari naye zaidi ya kumpuuza tu.
 
Mwandishi tumia akili yako vizuri fitina na chuki dhidi ya lisu haitakusaidia chochote .
Tafuta kazi ya kufanya acha kutanga tanga hapa jukwaani kumtukana lisu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…