Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Watu wamechimba sana historia ya Lissu na kutafuta jambo lolote la ukosefu wa uadilifu wamekosa.
Zaidi wameambulia kujitoa kwake kutetea haki za watu kwa kujitolea kwa moyo mkunjufu kabisa.
Watu wa Nyamongo ni mashahidi na ndio maana hawajaogopa mabomu au risasi.
Pili, tokea siasa za vyama vingi ziruhusiwe tena hapa nchini 1992 haijapata kutokea mgombea upinzani mwenye uchaji wa akili kama Lissu.
Hata wagombea kutoka chama tawala ambaye ameweza kuwa katika level ya Lissu labda twaweza kusema ni Mkapa tuu.
Hayo mambo mawili ni makuu sana na ndiyo yanayompaisha sana Lissu katika uchaguzi mkuu huu.
Watanzania wanalijua hilo, Magufuli analijua na CCM inalijua.
Busara ni kukubaliana na Bali hiyo na kuepusha shari.
Kama unaona watu wamekukataa ni bora kujiweka pembeni na kuishi maisha ya baadae kwa raha kuliko kusababisha maafa na kwa vile kutoka lazima utatoka ukajikuta unaishia majuto.