Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Historia ya Uadilifu na uchaji wa akili ndio nguzo kuu inayombeba

Hili ndio debe tupu halijitambui
 
Lissu ni kati ya watu wachache sana hapa duniani wenye IQ kubwa, watu hawa hutokea kwa nadra mno. Sasa IQ yake kuchanganya na ujasiri alionao inakuwa ni ngumu mno kushindana na yeye kwa hoja, hoja yoyote ile iwe ya kijamii, kisayansi, kisiasa, kisheria ..ni lazima ujipange vilivyo.

Kwa mfano kile kitabu cha Maadili ya Uchaguzi ni kidogo mno, lakini wakisema wakijadili yale yaliyomo ndani kwa njia ya mdahalo basi hata hao waliokitunga watabakia midomo wazi kwa namna atakavyokidadavua... na sina uhakika kama wagombea wengine ukimwondoa Maalim kama wamekisoma chote na kukielewa vilivyo.

Sasa unapopambana na mtu wa namna hii kwa hoja lazima ujipange vilivyo vinginevyo anakutimuia vumbi vibaya sana. Ana uwezo wa kukukera ama kukufurahisha !!
 
Siku nikikuta GENTAMYCINE na Johnthebaptist wamekuunga mkono nafunga kizazi.
 
Aanze na pale Ufipa, kuhoji mapato na matumizi ya chama kama atabaki salama.
Hivi suala la mapato na matumizi ya chama ndio haki za RAIA?
Kwa hiyo CAG ni msimamizi wa haki za kiraia siku hizi?
 
Majaji kama walee maprofesa alioita zile ripoti zao za madini rubbish tena akawasema hawa majaji waliowengi hawajui yai ambalo ndio kiini cha sheria zetu Lissu wapeleke mpera mpera hao walidhani ni wale maamuma waliozoea kuwaonenea sijui polepole ana jisikiaje saa hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…