Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki.
Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno.
Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania wanasikitika.
Lissu hakujua Mbowe na wana CHADEMA ni wanafiki na wachumia matumbo.
Wakamtumia Lissu kuropoka hovyo, sasa hivi wao wananyonya asali kwa mrija.