Tundu Lissu hukujua kuwa wanasiasa ni wanafiki? Angalia wanafiki leo hii wapo meza moja na vibaraka wa mabeberu. Walikutumia vibaya kubwatuka

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ili uwe mwanasiasa kwa siasa za kiafrika lazima uwe mnafiki.

Lazima penye uongo ukubali na kusapoti huku ukikenua meno.

Hayati Magufuli alikataa unafiki na ndiyo maana mpaka leo Watanzania wanasikitika.

Lissu hakujua Mbowe na wana CHADEMA ni wanafiki na wachumia matumbo.

Wakamtumia Lissu kuropoka hovyo, sasa hivi wao wananyonya asali kwa mrija.
 
Hata wewe huwa unaandika pumba sema tunakuvumilia tu.

Ndio uhuru wenyewe huo wa kutoa maoni unaopiganiwa hapa kila siku.
Infact yeye kashambulia hoja, na wewe una deal na mtu which is out of context.

Kikubwa hoja yake inaongelea reformation ya hii forum, ambapo at some point na wewe umeonyesha kugundua kuwa kuna tatizo la ubora.

*Common ground ya nyinyi wawili ni kwamba hii forum ina thread ambazo zimejaa upuuzi.

-Way forward kuitengenezea standards ni lazima iwe reformed.
 
Mkimbizi Lissu hana tofauti na hao wanafiki wengine unaowasema.
Mnakumbuka issue ya kumtaja Lowasa kuwa ni fisadi halafu baadae akaja kumsafisha na sabuni Omo na jik?
Huu ulikuwa unafiki wa kiwango cha SGR.
We mtu anatoka uhamishoni kuja kufanya kampeni za uchaguzi, hamna aliyekugusa, unatukana, baadae unashindwa vibaya unarudi kule, unadai huwezi kurudi mpaka serikali ikuhakikishie usalama wako.
 
Ukweli mchungu, tuna mtanzania mmoja wa hovyo kuwahi kutokea, namchukia hadi kero

Mpuuzi sana huyu, miga, miga, miga, watu wazima unatutishia miga? Ebho!!

Mamilion ya Watanzania tukubali kutishiwa nyau?

Taifa hili linasonga bila kutegemea uwepo wake!
 
Kwa bahat mzuri aliyetaka kumdhulumu uhai wake Mungu akapiga stop ili aendelee kuishi, aliyeuwa,kufunga,kupiga,kupora uchaguzi ati ashinde uchaguzi Mungu akamchukua maramoja. Usijione unanguvu ukadhulumu watu. Kwanini wale wenye mabunduki hawakuzuia uhai wake ili mfaidi na uongozi wake batili. MUNGU NI FUNDI SANA.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu usije haribu mimba yako, hapo lumumba hata mumchukie nyote bado anaishi nakutaka kumuua kwenu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo haiondoi unafiki wa Lisu kwa sababu kila mtu atakufa
 
Mpuuzi wewe, kwahiyo unataka mbowe na wengineo wawe wanamtukana Samia ndio furaha yako, Kwanza SAMIA ana ubinadamu huwezi kumlinganisha na Hayati Ngosha, Samia amemlipa Lissu stahiki zake zote alizonyimwa na magufuli
 
Mpuuzi wewe, kwahiyo unataka mbowe na wengineo wawe wanamtukana Samia ndio furaha yako, Kwanza SAMIA ana ubinadamu huwezi kumlinganisha na Hayati Ngosha, Samia amemlipa Lissu stahiki zake zote alizonyimwa na magufuli
Unatumia makalionyenye upele kufikiri
 
Hiyo haiondoi unafiki wa Lisu kwa sababu kila mtu atakufa
Alikunafikia nini labda?

Kila mmoja atakufa lakni hutegemea na namna ya kifo wenyewe.

Kifo chá magufuli nikwasababu ya kufuru zake na kudhulumu roho za watu kwasababu alikuwa anajiona anawapumbavu wenye bunduki nyuma mimi najiuliza kwa nini hawakufanya bidii asife huyu kiumbe dhaifu aliyetokana na kojo lá babaye.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…