M Mbege10 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2014 Posts 1,509 Reaction score 2,499 Oct 15, 2025 #21 Ndugu zangu nisaidieni jambo. Nikibonyeza reply inaniletea maelezo yote ya mtu ninaetaka kumjibu katika jedwali ninalotaka kujibu mm. Hvyo inaondoa mpangilio mzuri wakuchangia mada. Naombeni ufumbuzi katika hilo au wasiojulikana wameshanifikia.
Ndugu zangu nisaidieni jambo. Nikibonyeza reply inaniletea maelezo yote ya mtu ninaetaka kumjibu katika jedwali ninalotaka kujibu mm. Hvyo inaondoa mpangilio mzuri wakuchangia mada. Naombeni ufumbuzi katika hilo au wasiojulikana wameshanifikia.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Oct 15, 2025 #22 Ndio tatizo la kuongozwa na average minds, minds below average! Ni makosa makubwa sana kuongozwa na watu waliotakiwa kuwa wapishi au air hosts. Kosa kubwa sana!!
Ndio tatizo la kuongozwa na average minds, minds below average! Ni makosa makubwa sana kuongozwa na watu waliotakiwa kuwa wapishi au air hosts. Kosa kubwa sana!!
ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 5,424 Reaction score 6,327 Oct 15, 2025 #23 Umsolopagaasi said: Write your reply...anyongwe haraka hili haini Click to expand... hii ndio kazi ya policcm wakitumia na ccm.
Umsolopagaasi said: Write your reply...anyongwe haraka hili haini Click to expand... hii ndio kazi ya policcm wakitumia na ccm.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,104 Reaction score 75,552 Oct 15, 2025 #24 Muhimbu said: Kama kuna jambo mafisiemu mmejichanganya na litawatafuna basi ni hili la Polepole. Click to expand... Hili la Polepole ni kitanzi katupiwa Chura kiziwi na alivyo zuzu kakivaa huku anachekelea.
Muhimbu said: Kama kuna jambo mafisiemu mmejichanganya na litawatafuna basi ni hili la Polepole. Click to expand... Hili la Polepole ni kitanzi katupiwa Chura kiziwi na alivyo zuzu kakivaa huku anachekelea.
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 3,705 Reaction score 5,540 Oct 15, 2025 #25 .