Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama hujamuelewa Tundu Lissu, soma paragrafu ya mwisho! Naamini utamuelewa!!!
Tundu kasema walinda kura wana bunduki na hawo ndio wanao badili sha matokeo. nasie tuwe nabunduki ili tupambane nawo.
Hivyo ndio nilivyo fahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…