Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is Real Man!! Real opposition candidate in Tanzania history

Embu acha kumfananisha Shujaa Lissu na utopolo Lowassa
 
Na hata huo uraisi wa TLS , CCM walimpiga figisu asiwe raisi ila hawakumweza!!!

Achana na mpakwa mafuta wa MUNGU Tundu Antipas Lissu wewe!!!
Mwakyembe alimsumbua sana hadi bungeni
 
alipokuwa rais wa TLS alifanya nini ili tumuamini kuongoza nchi?
Mlijaribu kufupisha uhai wake sir God akagoma hakuna namna hana pa kukimbilia kawakorofisha majirani wote. Kitanzi kinamngoja jiwe. Kesi ziko kama 5000 hivi zote zikihusu kudhulumu haki za kuishi !!!!
 
Ni wapumbavu tu ndo watamuona Tundu Lissu katika muktadha huo ulioueleza!

Tangu nipate akili za kufuatilia siasa za Tanzania sijawahi kuona Mgombea Urais ambaye sera zake ni kufanya personal attack za Rais badala ya kuleta sera .

Acha muendelee kujipa MATUMAINI lakini mark my words, hakuna Mgombea Urais upinzani, Lissu anaamini tukio lake lile litamuongezea kura, but he's sure that nothing he will get .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa nimewashawishi watu zaidi ya 20,kumpigia kura TUNDULISSU. huu ni mchango wangu kwake, ningetoa pesa ila MAGUFULI kanikwamisha kwa sera zake mbovu
 
Mapovu yako hayatookoa chochote , Mmekwisha kudadeki zenu !
 
Mlijaribu kufupisha uhai wake sir God akagoma hakuna namna hana pa kukimbilia kawakorofisha majirani wote. Kitanzi kinamngoja jiwe. Kesi ziko kama 5000 hivi zote zikihusu kudhulumu haki za kuishi !!!!
ukiona choo kwenye ndoto usikitumie.
 
Ukiamka utakuta mambo ni tofauti sana,, Lissu hana upepo huo wa kushindana na JPM inshort acheni mtusindikize,,

Yule ni mtu Imara mwenye vision na Tanzania ni Rais wa mfano kwa Africa hata dunia..

Ana udhubutu na anadhubutu kulipeleka taifa linapotakiwa,,,

Bakini na matusi yenu ila Ikulu muisikie tu!!! Tukutane October!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…