Uchaguzi 2020 Tundu Lissu is Real Man!! Real opposition candidate in Tanzania history

Najua meko atatumia nguvu zake zote na majeshi yake yote na hapo ndio mambo yatamuharibikia zaidi.
Amini amini nakwambia ndugu, CCM kinaenda kuwa Chama pinzani baada ya uchaguzi wa October 2020.

Hakuna njia Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu. Narudia tena na tena, hakuna namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu!
TL ndio chaguo letu watanzania
Na hata huo uraisi wa TLS , CCM walimpiga figisu asiwe raisi ila hawakumweza!!!

Achana na mpakwa mafuta wa MUNGU Tundu Antipas Lissu wewe!!!
Nakuhakikishia technically ndani ya C CM kunaenda kufanyika usaliti wa Hali ya juu kwa Karne hii.
CCM watapata aibu ya karne huu utakuwa uchaguzi wa kihistoria. Hata ubunge watapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Nakuhakikishia technically ndani ya C CM kunaenda kufanyika usaliti wa Hali ya juu kwa Karne hii.
Hata kuwa na vyombo vya dola vinamtumikia mtu wa haiba ya Magu ni aibu kwa nchi yetu na watu wake.
 
Wshabiki wa chadema ni wapuuzi sana!

Miezi miweili iliyopita kilio kilikuwa tume huru sasa hivi wanajiona washindi kabla hata ya kampeni.
 
Wshabiki wa chadema ni wapuuzi sana!

Miezi miweili iliyopita kilio kilikuwa tume huru sasa hivi wanajiona washindi kabla hata ya kampeni.
Mmekwisha nyie kudadeki ! Mkiiba kura lissu anaingiza nchi yote barabarani
 
Wshabiki wa chadema ni wapuuzi sana!

Miezi miweili iliyopita kilio kilikuwa tume huru sasa hivi wanajiona washindi kabla hata ya kampeni.
Chadema inaogopwa sana, tv na radion zimezimwa ili CDM wasionekane, hata bunge live iliondolewa kwa hofu ya chadema
 
alipokuwa rais wa TLS alifanya nini ili tumuamini kuongoza nchi?

Kabla hata hajawa Rais wa TLS wakati wa serikali ya awamu ya tatu amepambana sana na serikali anatetea wachimbaji wado wakati huo hakuna chombo chochote kinachowajali ikiwa ni pamoja na serikali.
 
Mahoka haya, hebu usimfananishe JPm na vitu vya hivyo! Magu 5 tena 28 oct
 
Achana yule alikuwa hawezi hakuongea dk 15 lakini alipata kura zaidi ya milion 6 je angekuwa na uwezo wa kuongea ingekuwaje.
 
Amini amini nakwambia ndugu, CCM kinaenda kuwa Chama pinzani baada ya uchaguzi wa October 2020.

Hakuna njia Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu. Narudia tena na tena, hakuna namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu!
'Lakini tunaambiwa kuwa Magufuli hana historia ya kushinda kihalali katika chaguzi zote alizo wahi kushiriki hapa Nchini, mara nyingi anasaidiwa na goli la mkono, pengine itakuwa shida watalaam wa goli la mkono amewaweka benchi. Pengine hakujua kuwa siasa ni upepo unaweza kubadili uelekeo muda wowote.
 
Soma comment hapo ndipo utajiona ww mpumbavu.Muda wa kampeni bado utasikia sera zake.Misukule ya CCM jiandae kufungasha vilago mwaka huu.
 
alipokuwa rais wa TLS alifanya nini ili tumuamini kuongoza nchi?
Alifanikiwa kujenga jengo la wakili house
Alifanikiwa kupunguza gharama za ada za uwakili
Alifanikiwa kuifanya TLS iwe huru kukemea uvunjifu wa sheria na haki za binadamu
Alisababisha Kanuniza uchaguzi wa TLS zibadilishwe ili kuzuia Mbunge au kiongozi wa chama cha siasa kugombea uongozi kwenye TLS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…