Pre GE2025 Tundu Lissu: Job Ndugai hakuchaguliwa na mtu yoyote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu

Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu

Jambo TV
 
Umenikumbusha mbali shemeji. Kuna mbunge mmoja wa upinzani Kuna siku alikua anaomba serikali ipeleke maji kwenye Jimbo la waziri mmoja wakati waziri mwenyewe Yuko mule mule bungeni.
Yule waziri alijaa gesi sio la kawaida.
 
KWANI WAMEKUBALIANA WANASHIRIKI UCHAGUZI? SIWATU WA KUSUSA HWA
 
..Napenda mikutano ya Cdm iendelee.

..lakini pia they have to be focused on the message.

..Pia wahakikishe wanaandikisha wapigakura wengi, na wanawahamasisha kwenda kupiga kura.
Vinahusiana nini na comment yako ya awali?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu

Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu

Jambo TV
Alipachikwa akaja akapachuliwa😂😂😂
 
Back
Top Bottom