johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lisu amesema kweli.Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu
Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu
Jambo TV
Umenikumbusha mbali shemeji. Kuna mbunge mmoja wa upinzani Kuna siku alikua anaomba serikali ipeleke maji kwenye Jimbo la waziri mmoja wakati waziri mwenyewe Yuko mule mule bungeni.Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu
Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu
Jambo TV
Tyson Nini?Umenikumbusha mbali shemeji. Kuna mbunge mmoja wa upinzani Kuna siku alikua anaomba serikali ipeleke maji kwenye Jimbo la waziri mmoja wakati waziri mwenyewe Yuko mule mule bungeni.
Yule waziri alijaa gesi sio la kawaida.
anawashwa kaenda kukunwa..Lissu alisema mikutano yake Kanda ya Kati [ Dom, Sing, Moro] itaanza June 1, sasa huko Kibaigwa amefuata nini?
Hujqpenda?..Lissu alisema mikutano yake Kanda ya Kati [ Dom, Sing, Moro] itaanza June 1, sasa huko Kibaigwa amefuata nini?
Hujqpenda?
Jadili hoja acha vijimaneno vya kwenye kanga ha..... thi weweanawashwa kaenda kukunwa
Vinahusiana nini na comment yako ya awali?..Napenda mikutano ya Cdm iendelee.
..lakini pia they have to be focused on the message.
..Pia wahakikishe wanaandikisha wapigakura wengi, na wanawahamasisha kwenda kupiga kura.
Alipachikwa akaja akapachuliwa😂😂😂Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu
Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu
Jambo TV
Vinahusiana nini na comment yako ya awali?