Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kamati Kuu itakaa kutoa msimamo rasmi juu ya Mbunge wa Nkasi, Aida Khenan

Kiukweli kama halima mdee angeshinda kawe na akaenda bungeni alivyofanya aidah,mdee angesifiwa na kupewa majina yote ya kikamanda,angeitwa hadi jeshi la mtu m1 😂
 
Kwa Taarifa yako. Kamuuliza na swali Ndugai. Bila shaka kampea na kura yake!
 
Yaani ukiwa mwanachadema na wewe sio mtu wa kaskazini utapata tabu sana
 
Huyo Mbunge aachwe asvuliwe kipindi hiki.
Chadema indelee na mipango yake ya kufungua Kesi za kimataifa na zinginezo na mashinikizo ya hapa na pale ya kisiasa.

Huyo afutiliwe mienendo yake tu.
Kumvua ubunge itakua ni kujiwekea mapingamizi ya kukwamishana wenyewe.

wale wa viti maalumu siwaungi mkono mana hao sio chaguo la wananchi bali chama pekee.

Toeni tamko la Kupinga kuhudhuria bungeni lakini aachwe asivuliwe Ubunge ili kuendeleza uhuru wake kisiasa. Ila aonywe kuongea ongea na vyombo vya habari kwani iatamletea dharau kwa viongozi wake kwa wazi.
 
Mnajua Chadema mkiamua kumuona huyu mbunge kama mbunge wa CCM or chama kingine wala hamta sumbuka nae.
Hata mkimfuta uanachama atatoka bungeni atajiunga na chama kingine serekali itatumia hela za madawati kufanya uchaguzi mwingine na atarudi tena Bungeni.
Then mtakuwa mmefaidika na nini??
 
Huyo ndiyo mbunge wa NKASI kwa kipindi cha 2020-2025, akiwa mwanachadema au chama kingine, mnapoteza muda wenu kwa majungu na wivu, angekuwa ametoka kanda maalumu ya CHADEMA mngesema acha aendelee ili atusaidie kupata taarifa za jikoni.POOR CHADEMA
Well said mkuu
 
Back
Top Bottom