Wakimfukuza ruzuku itapungua!
Wengi walikuwa na impact gani?Sasa huyo mmoja ana impact gani?
Well said mkuuHuyo ndiyo mbunge wa NKASI kwa kipindi cha 2020-2025, akiwa mwanachadema au chama kingine, mnapoteza muda wenu kwa majungu na wivu, angekuwa ametoka kanda maalumu ya CHADEMA mngesema acha aendelee ili atusaidie kupata taarifa za jikoni.POOR CHADEMA