Kwa lugha ya staha na hekima kubwa, mwanasiasa nguli huyu asikilizwe:
Your browser is not able to display this video.
=== Alichozungumza Tundu Lissu ktk video iliyowekwa hapo juu
"Naanza kuona maneno hivi hawa diaspora hao wasitubabaishe wasituingilie, hiyo ni lugha ya CCM. Anayezungumza lugha ya aina hiyo anasaidia wale waliotuumiza miaka yote.
Kwasababu lugha hiyo inaweka utofauti kati ya waliopo nyumbani na diaspora."
Tundu amesema diaspora ni muhimu ndio maana wamekuwa wakisaidia shughuli za kisiasa sio tu kuishia kulipia mawakili. Kwa hiyo sio kweli kwamba hawana umuhimu.
Amesema wanaotumia lugha hiyo kwa kujua au kutojua wanafanya kazi ya CCM.
====
Nyuzi mbili hIzi zinahusika:
Tundu Lissu ashauriwe kuacha kuropoka na kuongea kila kitu. Tundu Lissu ana lose FOCUS. Kwa mfano mkutano wake aliofanya Columbus Ohio jana kwa CHADEMA in Diaspora. Alikosoa uteuzi wa CCM kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi.
Kama Makonda hafai kuwa Mwenezi mimi naona hiyo ni faida kwa UPINZANI kwa kuwa wana mtu asiyefaa. Sawa na kwenye mpira kwa mfano Tanzania tunacheza dhidi ya FRANCE, halafu Kocha wa Taifa wa France anampanga namba saba Ngolo Kante badala ya Kilian Mbappe. Je tukilalamika tutakuwa tuna akili kweli?