Tundu Lissu: Kauli ya Diaspora watuache ni ya CCM, anayesema kauli hiyo anafanya kazi ya CCM

Ati ndio unafundisha Domokrasia?
Social stratification, academic stratification, water finds its own level! The position of a person in a society is determined by three factors
1. Education
2. Outstanding performance in a society and
3. Wealth one possesses!

Hapo hakuna swala la demokrasi,ni kuwa you belong where you fit!
 
Kawadanganye hao walio kwenye stratosphere yako. Domocratic Republic of Utopia.(2)


Umesoma wapi nimesema Demokrasia?(1)

Surely, it is Domocracy that you are pitching.
 
Kawadanganye hao walio kwenye stratosphere yako. Domocratic Republic of Utopia.(2)


Umesoma wapi nimesema Demokrasia?(1)

Surely, it is Domocracy that you are pitching.
Huyo mangi retired siku zote jambo linalomgusa mbowe negatively linamfanya aweweseke.

Mbowe is his demigod.
 
Huyo mangi retired siku zote jambo linalomgusa mbowe negatively linamfanya aweweseke.

Mbowe is his demigod.

Lakini mbona mada haimgusi mtu?

Maneno ya Mbowe ni kuntu: "huamini katika haki uko wrong side."

Tuaminio katika haki adui yetu mmoja tupambane naye huyo.

Tatizo liko wapi hapo?
 
Mbona sijaona tatizo? Huu mgogoro unaoutaka Kila SIKU una maana Gani?
 
Lisu anasema huko chadema kuna watu wanaitumikia ccm kwa kujua ama kwa kutokujua. Kufukia vichwa kwenye mchanga kama mbuni afanyavyo hakutasaidia kuondoa tatizo.
Sasa dhambi Iko Wapi? Mamluki wapo Kila mahali, hata Sisi tuna Watu wetu wengi tu NDANI ya CCM na kwingineko
 
Lakini mbona mada haimgusi mtu?
Kama kwa muono wako mada haimgusi mtu, utakuwa na matatizo makubwa kichwani.

Mada inatokana maongezi kati ya lisu na diaspora.

Hao wanaosemwa na lisu kuongea lugha ya ccm ni watu? Au ni nyumbu!
 
Sasa dhambi Iko Wapi? Mamluki wapo Kila mahali, hata Sisi tuna Watu wetu wengi tu NDANI ya CCM na kwingineko
Kuwa na mamluki kwenye ngazi za juu kabisa za uongozi ni jambo la hatari sana.
 
Kawadanganye hao walio kwenye stratosphere yako. Domocratic Republic of Utopia.(2)


Umesoma wapi nimesema Demokrasia?(1)

Surely, it is Domocracy that you are pitching.
Nakwambia unakwenda kweye levelllllllllll
 
Tundu Lissu ashauriwe kuacha kuropoka na kuongea kila kitu. Tundu Lissu ana lose FOCUS.
Huo uwezo wa kufanya hivyo anautoa wapi? Kwa akili ipi? Mtu anaye "lose focus" unategemea kweli aache kuropoka? Akiacha kuropoka ataongea nini sasa kwenye huo wakati wa ku-lose focus?
 
Lissu kapona?

Huko xhadomo Mbowe kazi yake kuwatia waytu wazimu tu, Mnyika ndiyo hivo, sasa Lissu ndiyo hivyo.

Zitto alistuka mapema akajionea ni heri nusu shari kuliko shari kamili.

Halima Mdee ndiyo walewale.
Hujionei aibu kwa kuandika upuuzi upuuzi kila mara? Can you bring something sensible?
 
Sidhani Lisu alisema katika mtazamo huo unaousema.

Makonda ni mhalifu. Ni muuaji, mtesaji na mtekaji wa watu. Mtu wa namna hii hafai kuwa kiongozi wa chochote. Kumpa uongozi ni kuenzi maovu yake.

Kilicho dhahiri ni kwamba Rais Samia ameunga mkono uovu wa Makonda, mtu ambaye amekuwa akiwanyima watu haki ya kuishi. Kiongozi anapompa madaraka mhalifu, maana yake na yeye ni sehemu ya uhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…