Mbeya, Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg
Source : busokelo tv
Mwanachama huyo toka enzi za TANU Youth league ameona muungano ukiasisiwa mwaka 1964 akiwa shule ya msingi darasa la saba.
Chifu Mwaihojo anaongeza amewasikiliza viongozi wake wa CCM kina Mzee Kinana, CPA Amos Makala, Ally Hapi n.k wakijaribu kujibu hoja za Tundu Lissu lakini wameshindwa kutoa majibu ya kuridhisha.
Chifu Mwaihojo ameongeza kuwa hoja na maswali ya Tundu Lissu yamegusa nyoyo za waTanzania wa kawaida Tanganyika na Zanzibar na ikiwa yatafanyiwa kazi yataimarisha muungano lakini majibu ya viongozi wa CCM hayajajibu hoja hivyo chama kongwe CCM wasipuuza maoni ya Tundu Lissu muungano huu utazidi kutetereka, kuyumba na unaweza kuvunjika .....
Chifu Mwaihojo anaongeza Muungano huu ulianza vizuri kwa kuwa na mambo ya muungano pia na yale ya Zanzibar na Tanganyika kupewa usimamizi tofauti lakini miaka ya sasa yamepuuzwa tofauti na vile wakati Nyerere na Mzee Abeid Karume waliyatenganisha mambo kadhaa yabaki ya Zanzibar na yale ya Tanganyika yalisimamiwa na makamu wa pili wa rais wa Muungano Rashidi Kawawa ....
Chifu Mwaihojo anasema hoja za CHADEMA na Tundu Lissu zimeshawishi wananchi na zipo katika lugha nyepesi inayoeleweka iliyochambua katiba na mienendo ya serikali ya CCM. Huku chama kongwe dola kikitumia zaidi kejeli, kutishia na maguvu badala ya kujibu hoja ili kurekebisha mapungufu ya kupuuza yale makubaliano ya mwanzo ya Nyerere na Karume ..... anaongea kwa masikitiko mwanachama mkongwe wa CCM Chifu Mwaihojo
Chifu Mwaihojo anasema somo la historia ya kweli ya Muungano lifundishwe badala ya maneno ya kisiasa ya CCM ndiyo iwe historia.
Akumbusha chifu Mwaihojo kuwa baada ya mapinduzi kiongozi wa kwanza alikuwa ni John Okello. Baadaye Nyerere aliwaita Karume na John Okello kuwaambia mapinduzi kuondoa waarabu madarakani kuwarudishia wazanzibari hayatakuwa yamefikiwa malengo ikiwa John Okello kutoka Uganda atasalia madarakani .....
Masuala ya bandari za Tanganyika kuuzwa huku za Zanzibar zikifichwa hiyo siyo sawa kufanyiwa Tanganyika huo ndiyo ukweli ....... anagongelea msumari wa maana ya uhuru na ardhi chifu Mwaihojo.... haiwezekani mababu wa Songea, Lindi, Kilwa kunyongwa na wajerumani wakipigania ardhi yao halafu sasa tunagawa na kufukuza wenyeji wa Ngorongoro, Loliondo, Mtwara n.k hii siyo sawa ...
Hoja zetu za CCM kupitia kwa Ally Hapi katibu mkuu wa WAZAZI Jumuiya ya CCM kuwalinganisha Mzee Ali Mwinyi ni Julius Nyerere ni hoja dhaifu. Kwani uchumi uliyumba kutokana na vita vya Kagera dhidi ya Nduli Idd Amini Dada na kabla ya Tanzania kuingia vitani kutetea ardhi ya Kagera mwalimu Nyerere alitoa angalizo uchumi utayumba kwa miaka 10 hivyo siyo kweli sera za uchumi za Nyerere zilidhoofisha uchumi wa nchi kisha Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa mkombozi wa kiuchumi kupitia sera za ruksa .......
Sera za ruksa za Ali Hassan Mwinyi zilisababisha viwanda vya ndani kama vya textile pamba, nguo, chai, matairi general tyre, mafuta ya kula n.k vilivyotapakaa nchi nzima Tanganyika vipigwe mnada na kugeuzwa magodauni / ghala na kuendelea kuuzwa na Benjamin Mkapa ..... hii imesababisha tatizo la ajira kwa vijana . ... hapa Mbeya kulikuwa na viwanda vingi vilivyotoa ajira kule Tanga, Mwanza, Tabora n.k kulijaa viwanda Mzee Mwinyi na Benjamin Mkap .....
Tundu Lissu / Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa
View: https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg
Source : busokelo tv
Mwanachama wa CCM Chifu Mwaihojo asema Tundu Lissu anahoja nzito lakini viongozi wa CCM wanajibu hoja za Muungano kisiasa bila majibu tosheleziMahojiano exclusive Busokelo TV na Chifu Mwaihojo