Tundu Lissu kufanya mkutano mkubwa wa Elimu ya Uraia Jimboni Iramba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo

Mkutano utafanyika weekend hii

Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba 😄
 
Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba
 
Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo

Mkutano utafanyika weekend hii

Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba 😄
Mbona umesahau kuwwa Tundi Liissu naye nii nyeti naye ni wa Singida pia tofauti wenziye Wana soni yeye ana matusi .
 
Hiyo ni derby ya wanasiasa mashuhuri wa singida wanaovuma kitaifa. Baada ya huo mkutano wa lissu huko iramba mwiguli naye atafanya mkutano palepale kurivenji hoja. Huko iramba hasa jimbo la magharibi ni ngo'me/territory ya mwigulu, atatawala mpaka achoke akili achie kwa atakayemuandaa kurithi mikoba yake
 
Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria

Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo

Mkutano utafanyika weekend hii

Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba 😄
Amerudishq ball kwa nyanda!
 
hivi ile anayofanyaga huwa ni mikutano au kupiga story na porojo tyuu? atapata uongozo kweli kwa syle ile? :whatBlink:

afadhali amekata tamaa ya urais mapema, angeaibika sana, hata hivyo hata iramba kwenyewe hawez kupata ubunge ng"oo:DisGonBGud:
 
Iramba ni kubwa, wenyewe wanasema ilamba nkulu kuliko tanzania, huo mkutano utafanyika wapi, kiomboi, misigiri, ndago, ulemo au shelui?
Songela zigizigi!!yaweza ukawa ulemo karibu na Makunda Kwa Mwiguru au akafanyia shelui karibu Kwa kitila Iteme,au apige jiwe Moja afanyie misigiri ni katikati ya vijijiji hivyo.
 
Kijiji cha mahambe, kusuni mashariki mwa ikungi ndiko nyumbani kwa mh. Lissu na si iramba kwa kina mwigulu na kitila
 
Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo
Na Dr. Kijaji au sijui Kijazi ni wa wapi, siyo huko huko?
Hawa ni watu wa ajabu sana, sijui wameibuka vipi hawa!
 
hivi ile anayofanyaga huwa ni mikutano au kupiga story na porojo tyuu? atapata uongozo kweli kwa syle ile? :whatBlink:

afadhali amekata tamaa ya urais mapema, angeaibika sana, hata hivyo hata iramba kwenyewe hawez kupata ubunge ng"oo:DisGonBGud:
Kasema anakwenda kutafuta ubunge huko?
Naona mnayo hofu kubwa sana juu yake kuhusu hicho kiti cha u-rahisi. Mwambieni mama yenu, mbele ya Lissu ataaibika sana pamoja na kugawa pesa nyingi za waarabu.
 
Iramba ndo Wilaya pekee iliyotoa Mawaziri watatu kwa sasa.
1. Dr. Mwigulu Nchemba
2. Prof. Kitila Mkumbo
3. Dr. Doroth Gwajima

Hawa wote ni wasomi kweli kweli
 
Mbona umesahau kuwwa Tundi Liissu naye nii nyeti naye ni wa Singida pia tofauti wenziye Wana soni yeye ana matusi .
Hakuna majizi ya kura yenye soni. Sema Lisu hajipendekezi kwa watawala Ili kupata madaraka, lakini hao wenzake ni full kujipendekeza.
 
Iramba ndo Wilaya pekee iliyotoa Mawaziri watatu kwa sasa.
1. Dr. Mwigulu Nchemba
2. Prof. Kitila Mkumbo
3. Dr. Doroth Gwajima

Hawa wote ni wasomi kweli kweli
mi hata sijui kama dr. Gwajima ni mnyiramba wa iramba. Nilijua labda ni msukuma fulani hivi. Inaa maana ye ni mbunge viti maalumu mkoa wa singida? Basi mkoa mzima una mawaziri watatu na wote wanatoka wilaya ya iramba. Ilamba nkulu kuliko singida
 
Hakuna majizi ya kura yenye soni. Sema Lisu hajipendekezi kwa watawala Ili kupata madaraka, lakini hao wenzake ni full kujipendekeza.
na angekuwa anajipendekeza angekuwa mbunge wa maisha jimboni kwake ikungu/singida mashariki
 
Wasije kuandaa jukwaa lenye tangazo la ccm

20240528_000956.jpg
 
Back
Top Bottom