Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijaji wa Kondoa ila Jesca Mrs Tumbiri ndio wa Iramba 😄Na Dr. Kijaji au sijui Kijazi ni wa wapi, siyo huko huko?
Hawa ni watu wa ajabu sana, sijui wameibuka vipi hawa!
Civics ulifundishwa Uhamiaji? 😂Elimu ya uraia kwani kawa afisa NIDA au UHAMIAJI
Dr. Gwajima ni Mnyiramba OG toka kijiji cha Wembere kiko pembezoni mwa Mlima Sekenke.mi hata sijui kama dr. Gwajima ni mnyiramba wa iramba. Nilijua labda ni msukuma fulani hivi. Inaa maana ye ni mbunge viti maalumu mkoa wa singida? Basi mkoa mzima una mawaziri watatu na wote wanatoka wilaya ya iramba. Ilamba nkulu kuliko singida
nafasi yake ya ubunge ni kapu lipi kati ya yale ya ccm?Dr. Gwajima ni Mnyiramba OG toka kijiji cha Wembere kiko pembezoni mwa Mlima Sekenke.
Alikua Mganga mkuu Iramba 2008 - 2012 baadae akawa Mganga Mkuu wa mkoa Wa Singida 2012 - 2014 akapanda cheo kwenda Wizarani
Special Seatsnafasi yake ya ubunge ni kapu lipi kati ya yale ya ccm?