johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo
Mkutano utafanyika weekend hii
Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba
Mbona umesahau kuwwa Tundi Liissu naye nii nyeti naye ni wa Singida pia tofauti wenziye Wana soni yeye ana matusi .Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo
Mkutano utafanyika weekend hii
Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba 😄
Lisu ni wa Ikungi, nje kidogo ya mjini 😄😄Mbona umesahau kuwwa Tundi Liissu naye nii nyeti naye ni wa Singida pia tofauti wenziye Wana soni yeye ana matusi .
Amerudishq ball kwa nyanda!Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo
Mkutano utafanyika weekend hii
Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba 😄
hivi ile anayofanyaga huwa ni mikutano au kupiga story na porojo tyuu? atapata uongozo kweli kwa syle ile?Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria
Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo
Mkutano utafanyika weekend hii
Tuzidi kuwaombea Wananchi Wote wa Iramba 😄
Songela zigizigi!!yaweza ukawa ulemo karibu na Makunda Kwa Mwiguru au akafanyia shelui karibu Kwa kitila Iteme,au apige jiwe Moja afanyie misigiri ni katikati ya vijijiji hivyo.Iramba ni kubwa, wenyewe wanasema ilamba nkulu kuliko tanzania, huo mkutano utafanyika wapi, kiomboi, misigiri, ndago, ulemo au shelui?
Lisu ni wa Ikungi, nje kidogo ya mjini
Na Dr. Kijaji au sijui Kijazi ni wa wapi, siyo huko huko?Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena Wasomi wanaotegemewa na taifa Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila Mkumbo
Kasema anakwenda kutafuta ubunge huko?hivi ile anayofanyaga huwa ni mikutano au kupiga story na porojo tyuu? atapata uongozo kweli kwa syle ile?
afadhali amekata tamaa ya urais mapema, angeaibika sana, hata hivyo hata iramba kwenyewe hawez kupata ubunge ng"oo
Hakuna majizi ya kura yenye soni. Sema Lisu hajipendekezi kwa watawala Ili kupata madaraka, lakini hao wenzake ni full kujipendekeza.Mbona umesahau kuwwa Tundi Liissu naye nii nyeti naye ni wa Singida pia tofauti wenziye Wana soni yeye ana matusi .
kijaji atakuwa ni wa kondoa, mkoani dodomaNa Dr. Kijaji au sijui Kijazi ni wa wapi, siyo huko huko?
Hawa ni watu wa ajabu sana, sijui wameibuka vipi hawa!
mi hata sijui kama dr. Gwajima ni mnyiramba wa iramba. Nilijua labda ni msukuma fulani hivi. Inaa maana ye ni mbunge viti maalumu mkoa wa singida? Basi mkoa mzima una mawaziri watatu na wote wanatoka wilaya ya iramba. Ilamba nkulu kuliko singidaIramba ndo Wilaya pekee iliyotoa Mawaziri watatu kwa sasa.
1. Dr. Mwigulu Nchemba
2. Prof. Kitila Mkumbo
3. Dr. Doroth Gwajima
Hawa wote ni wasomi kweli kweli
na angekuwa anajipendekeza angekuwa mbunge wa maisha jimboni kwake ikungu/singida masharikiHakuna majizi ya kura yenye soni. Sema Lisu hajipendekezi kwa watawala Ili kupata madaraka, lakini hao wenzake ni full kujipendekeza.