mi hata sijui kama dr. Gwajima ni mnyiramba wa iramba. Nilijua labda ni msukuma fulani hivi. Inaa maana ye ni mbunge viti maalumu mkoa wa singida? Basi mkoa mzima una mawaziri watatu na wote wanatoka wilaya ya iramba. Ilamba nkulu kuliko singida
Dr. Gwajima ni Mnyiramba OG toka kijiji cha Wembere kiko pembezoni mwa Mlima Sekenke.
Alikua Mganga mkuu Iramba 2008 - 2012 baadae akawa Mganga Mkuu wa mkoa Wa Singida 2012 - 2014 akapanda cheo kwenda Wizarani