Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna ushirika wa ajabu unashambulia hotuba zangu, yupo Kinana, Nape na Halima Mdee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaishi zile ahadi za mwanatanu. Nitasema kweli daima kwangu fitina mwiko.
 
Go go go!
 
Kwa Lissu wameyakanyaga atawabamiza mbele na nyuma
 
mdee na wenzake hao ni wadudu wa COVID19 kamwe wasikubaliwe kurudi CHADEMA. Walishaonekana ni wasaliti na si waaminifu, waende CCM na vyama vingine wakafanye siasa huko
Chadema imeweza kuishi bila Halima na kundi lake,hili lichama kwa sasa ni kubwa mno na limekaa kitaasisi nimelifatilia kwa sasa ni namb mbili kwa ccm. Mbowe na Lissu wamefanya kazi kubwa mno,alishindwa Magufuli basi tena linazidi kukua kila linapopata misukosuko
 
Nahisi kuna watu wanatafuta sababu ya kuondokea. Mtu akishakuwa abasehemu mbili za kuishi huwa yupo tayari kuchafua moja ya sehenu ili apate uhalaki wa kuishi kwingine.
 
Lissu amesema hatakoma kuzungumza kwani Rushwa imenunua watu wengi kutoka Chadema ikiwemo makatibu wakuu waliopita na ni kweli pia Rais Samia anauza maeneo kama alivyobainisha
Babeki..!
 
Wananchi wengi hatupendezwi na hotuba za Lisu zinasambaza chuki,kuwagawa wananchi pamoja na uchonganishi mkubwa kati ya wananchi na viongozi wao.
 
Unaikumbuka CUF?

Tatizo la Chadema liko pale juu...

Hiki chama wakipewa watu wanyoofu kama Lissu kitafika mbali bila kutegemea huruma za mamlaka...
 
Wananchi wengi hatupendezwi na hotuba za Lisu zinasambaza chuki,kuwagawa wananchi pamoja na uchonganishi mkubwa kati ya wananchi na viongozi wao.
Hata kabla ya hotuba ya Lissu Mzanzibari alikuona chogo...

Lissu anajaribu kuongea ukweli uliopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…