Kutoka viunga vya ufipa gazeti la Mwangaza limedokeza kuwa Kada machachari wa Chadema anaweza kuuondoka chama hicho muda wowote kuanzia hivi sasa.
Tundu Lissu aliondoka nchi mwisho mwa mwezi Juni na kwenda nchi ubelgiji kwa matibabu inasemakana kuondoka kwakwe kulitokana na kutokuridhishwa na hali ya kutengwa yeye na timu yake.
Awali ilisemekana kuwa Lissu ataungana na Mbowe katika mikutano ya Karatu na Ngorongoro lakini alihudhuria mkutano wa Karatu pekee ile iliyofanyika Ngorongoro hakutokea.
Inawezekana Lissu amechukizwa na kitendo cha Mwenyekiti kutumia chopa iliyokuwa brand kwa picha yake huku Lissu akishindwa kuchangiwa gari na wanachama jambo ambalo limekwama njiani..?