Tetesi: Tundu Lissu kuondoka CHADEMA?

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Kutoka viunga vya ufipa gazeti la Mwangaza limedokeza kuwa Kada machachari wa Chadema anaweza kuuondoka chama hicho muda wowote kuanzia hivi sasa.

Tundu Lissu aliondoka nchi mwisho mwa mwezi Juni na kwenda nchi ubelgiji kwa matibabu inasemakana kuondoka kwakwe kulitokana na kutokuridhishwa na hali ya kutengwa yeye na timu yake.

Awali ilisemekana kuwa Lissu ataungana na Mbowe katika mikutano ya Karatu na Ngorongoro lakini alihudhuria mkutano wa Karatu pekee ile iliyofanyika Ngorongoro hakutokea.

Inawezekana Lissu amechukizwa na kitendo cha Mwenyekiti kutumia chopa iliyokuwa brand kwa picha yake huku Lissu akishindwa kuchangiwa gari na wanachama jambo ambalo limekwama njiani..?

 
sawa ila Lisu ndo raisi watanzania ajaye
 
Wewe hujawahi kuleta habari ya kweli hata moja siku zote ni uzushi tu kuhusu Chadema. Kila mumeo akikukoleza mikito unakuja kupulizia mbunye yako humu.
 
Hivi ndiyo vigazeti vya kisengerema kama vile vya Musiba enzi za dhalim Magufuli.
 
"INAWEZEKANA."
Maanake hujui unachosema.

Itoshe tu nikuambia kuwa CCM na serikali yake hawawezi kuiva chungu kimoja asilani.
 
Kipeperushi gani kimesema hivyo pumbaf
 
Basi sawa haya vwaa kyupi Yako uende
 
Hata ungekuwa wewe msoma comments, ungekataa kuchukua hela na cheo ccm, ukakomaa na chadema tu?
 
Hata kama ccm wataua upinzani kwa hongo wakimsimamisha mama wanamapinduzi watakua wako tayari kuona nchi inarudi mkononi kwa wanamapinduzi. Vinginevyo ccm itupe mgombea sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…