Tetesi: Tundu Lissu kuondoka CHADEMA?

CHAWA KAZINI
 
Kila siku ngonjera hizi hizi huyo Msigwa nje ya Chadema hana kitu jana si ndio tarehe 10 aliahidi atafanya mkutano imeshindikana tulieni Polisi wakiwaacha saa nne asubuhi mnakabidhi majimbo na urais
 
Lissu, CCM? Amin nakuambia, siku Lissu akitua CCM, makada wote wa kijani including johnthebaptist (albaki machawa sugu) watatimkia CHADEMA kuepuka cheche za nyuklia. 😅
 
Lissue hawezi hamia CCM wewee.labda kama atapewa kile cheo cha jaji mkuu ambacho alimnyima hayati JPM .Haahaaaaa

maana akigobea urais kupitia CCM ,sisi wasukuma tunamla kichwa mapema kwa kumsingizia kipenzi chetu
 
Tundu Lissu atakwenda Ccm akiwa na akili na uchangamfu wake, au atabadilishwa na kuwa msukule wa Amos Makalla?🤣
 
Karibu chama kubwa tuijenge nchi...
 


Tundu Lisu will never ever go to CCM
 
Una maanisha Samia amekubali kumpisha Lissu agombee 2025?
 
Hizi ramli mpaka lini. Huyu ni Makamu Mwenyekiti na ndiye anayegemewa kupambana na Samia hivyo haondoki ngojeeni ngoma 2025
Hana nguvu ya kumtoa DrSSH tuone tuombe uhai tu! Nimekaa hapa
 
Haiwezi tokea ,na kama itatokea basi laana kuu itakua juu yake asema Bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…